Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kuwa hivi karibuni atabuni kamati ya washikadau mbalimbali itakayojumuisha magavana wa ukanda wa pwani ili kujadili mbinu za kukabili uraibu wa dawa za kulevya katika ukanda huo. Akizungumza katika kaunti ya kilifi, Gachagua ameeleza kuwa uraibu na…
BY ISAYA BURUGU,11TH NOV,2023-Wahudumu wa taxi kaunti ya Uasin Gishu wamelezea wasiwasi wao kuwa mpango wa serikali kuongeza bei ya mafuta kufikia shilingi mia tatu kwa lita utawatatiza pakubwa katika shughuli zao. Wakizungumza na wandishi Habari mjini Eldoret,wahudumu hao wamesema tangu bei…
BY ISAYA BURUGU,11TH NOV,2023-Maafisa wa polisi hapa mjini Narok,wameanzisha uchunguzi baada ya mtoto mchanga wakiume wa siku moja kupatikanametupwa katika shimo la choo nyuma ya bweni kwenye chuo nani ya kikuu cha Masai Mara Karibu na mji wa Narok. Kwa mjibu wa…
Zaidi ya vituo vya afya 70 vimefungwa katika kaunti ya Narok kwa kukosa kuafikia viwango vinavyohitajika kisheria kuhudumia wananchi huku watu 6 wakitiwa mbaroni. Hii ni kufuatia zoezi la kukagua hospitali sawa na vituo vyote vya afya kaunti hii. zoezi hilo liliendeshwa…
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini KCCB, linaitaka serikali kuzingatia kwa kina suala la mabadiliko katika sekta ya afya, ili kuhakikisha kuwa wakenya wananufaika na mabadiliko yanayofanyika. Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa na KCCB katika Kituo Cha Uchungaji Cha St Mary…
Rais William Ruto, ameagiza idara za usalama nchini, kuwapa kipaumbele wananchi waliohudumu katika idara ya huduma ya kitaifa ya vijana (NYS). Kulingana na agizo hilo, asilimia 80 ya makurutu wote watakaochukuliwa katika idara za Polisi, Jeshi, maafisa wa kulinda misitu na wale…
Rais William Ruto hii leo ametoa hotuba yake ya kwanza kwa taifa miezi 14 baada ya kutwaa madaraka. Miongoni mwa masuala ambayo amezungumzia ni pamoja na gharama ya maisha. Rais Ruto amesema kuwa serikali yake imejitolea kuhakikisha kuwa gharama ya maisha inarudi…
BY ISAYA BURUGU,9TH NOV,2023-Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki amesema kuwa mpango wa serikali kuwatuma wanajeshi wapatao 1000 kulinda amani nchini Haiti hautadhiri usalama wa taiafa hili. Akizungumza bungeni hivi leo,Waziri amesema cha muhimu ni kuhakikisha kuwa maafisa wa polisi wa…