Naibu Gavana wa Kaunti ya Lamu, Raphael Munyua Ndung’u, amefariki. Taarifa hizi zimedhibitishwa na viongozi wa serikali ambao wameelezea huzuni yao, huku wakituma risala za rambirambi kwa familia yake na wakazi wa kaunti ya Lamu. Rais William Ruto ameongoza taifa katika kumuomboleza…
Wizara ya Afya imethibitisha kisa cha tatu cha Mpox nchini, ambapo mgonjwa wa kike mwenye umri wa miaka 30 jijini Nairobi amepatikana na ugonjwa huo. Mkurugenzi Mkuu wa Afya Dkt. Patrick Amoth alitangaza Ijumaa kwamba mgonjwa huyo ambaye ana historia ya kusafiri…
Bunge la Senate jioni ya jana liliidhinisha kuondolewa ofisini kwa aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Meru, Kawira Mwangaza, kwa makosa ya kukiuka katiba, matumizi mabaya ya ofisi, na kutenda kazi bila kuzingatia maadili. Mswada wa kumwondoa ofisini Gavana Mwangaza uliwasilishwa kwa Bunge…
Kama njia mojwapo ya kupunguza idadi ya wafungwa katika magereza ya humu nchini, jaji mkuu Martha Koome amesema kuwa idara ya mahakama imejitolea kupitia upya hukumu za wafungwa ili kuwaachilia wafungwa wa makossa mdogo kufanya huduma za jamii badala ya kutumikia kifungo.…
Waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi amekabidhiwa rasmi ala za ofisi hiyo na mtangulizi wake Njuguna Ndung’u, ambaye anaondoka wakati ambapo wakenya wanaendelea kulalamikia gharama ya juu ya maisha kufuatia ushuru wanaotozwa. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za wizara…
Wazee wa jamii ya Maa kutoka eneo la Ewaso Kedong, Kaunti Ndogo ya Kajiado Magharibi, wameelezea wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa visa vya uchinjaji haramu wa punda katika eneo hilo. wakizungumza kwenye kikao kilichoandaliwa na shirika la Farming Systems Kenya kwa ufadhili…
Maafisa wa polisi wameeleza utayari wao wa kuhakikisha usalama na pia kukabiliana na maandamano yaliyoratibiwa kuandaliwa siku ya Alhamisi. Maandamano hayo yamepewa jina la Nane Nane. Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Gilbert Masengeli, alisema haya baada ya kuongoza kikao cha maafisa…
Douglas Kanja ambaye amekuwa akihudumu kama kaimu Inspekta jenerali wa polisi kwa majuma mawili, sasa ameteuliwa rasmi kutwaa wadhfa huo ambao uliachwa wazi kufuatia kujiuzulu kwa Japhet Koome baada ya shinikizo kutoka kwa wakenya. Kupitia taarifa, mkuu wa utumishi wa umma Felix…