Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza akanusha mashtaka yanayomkabili.

Vikao vya kusikiliza hoja ya kumbandua gavana wa Kaunti ya Meru Kawira Mwangaza, vimeng’oa nanga asubuhi ya leo katika bunge la seneti. Maseneta wamepata fursa ya kusikiliza na kuangazia ushahidi utakaowasilishwa na wawakilishi wadi wa meru dhidi ya Gavana Mwangaza, huku naye…

Raila Odinga

Odinga asema Azimio la umoja one Kenya hautatia saini mkataba wa pande mbili iwapo swala la gharama ya juu ya maisha halitashughulikiwa

BY ISAYA BURUGU,6TH NOV,2023-Kinara wa Upinzani Raila Odinga hivi leo amesema kuwa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya hautatia saini mkataba wa pande mbili iwapo suala la gharama ya juu ya maisha halitashughulikiwa. Akizungumza mjini Mombasa, Odinga alisema Kamati ya Kitaifa…

Waziri Waziri wa  Hazina ya Kitaifa Prof. Njuguna Ndung’u apuuzilia mbali madai yaliyotolewa na Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o kuhusu jinsi Hazina ya Kitaifa inavyodaiwa kuzidisha bajeti ya mshahara wake kwa mara tatu

BY ISAYA BURUGU,6TH NOV,2023-Waziri wa  Hazina ya Kitaifa Prof. Njuguna Ndung’u amepuuzilia mbali madai yaliyotolewa na Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o kuhusu jinsi Hazina ya Kitaifa inavyodaiwa kuzidisha bajeti ya mshahara wake kwa mara tatu na kwa nyongeza ya mishahara ya maafisa…

Bei ya super petrol huenda ikaongezeka hadi sh. 300 kwa lita kufuatia vya Israel na Hamas.

Mzozo kati ya Israel na Hamas unaweza kuchangia kuongezeka zaidi kwa bei ya mafuta duniani hii ikimaanisha kuwa lita moja ya Super Petrol huenda ikauzwa kwa Ksh.300 kwa lita. Haya ni kwa mujibu wa Waziri wa kawi Davis Chirchir. Waziri huyo alipokuwa…

Mtihani wa Kidato cha Nne KCSE Waanza Katika Vituo 189 Kaunti ya Narok.

Mtihani wa Kidato cha Nne KCSE umeanza rasmi kwa watahiniwa wote asubuhi ya leo katika vituo mbalimbali vya mitihani katika kote nchini. Katika kaunti ya Narok, zoezi hili limeanza katika vituo 189 na watahiniwa wapatao 14,544 waliosajiliwa wanatarajiwa kufanya mtihani huu. Naibu…

Mafuriko

Mafuriko Yaua Watu 15, Kuangamiza Mifugo na Kuathiri Maelfu – Redcross Yasema.

Watu 15 wamepoteza maisha yao kutokana na mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa humu nchini hadi kufikia sasa. Shirika la Msalaba Mwekundu nchini limetoa taarifa rasmi asubuhi ya leo, inayoeleza kuwa zaidi ya watu 15,264 wameathiriwa moja kwa moja na mvua kubwa inayoendelea, huku zaidi…

Wanawake wenye taaluma mbalimbali eneo la Nyanza wahimizwa kuwashauri wanawake kuchukua nafasi sawa katika maendeleo ya uchumi.

Wanawake wenye taaluma mbalimbali kutoka eneo la Nyanza wamehimizwa kuwashauri na kuwawezesha wanawake kuchukua nafasi sawa katika maendeleo ya uchumi wa taifa. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali Eliud Owalo akizungumza alipokuwa akiongoza uzinduzi wa Chama cha Wanataaluma wa Wanawake…

Mwanamke wa miaka 64 amepatikana ameuawa katika boma lake Kaunti ya Kirinyaga,

BY ISAYA BURUGU,4TH NOV,2023-Mwanamke mwenye umri wa miaka 64 amepatikana akiwa ameuawa usiku wa kuamkia leo katika boma lake katika kijiji cha Kombo-ini, Kaunti ya Kirinyaga, huku mfanyakazi wake wa nyumbani – ambaye sasa ndiye mshukiwa mkuu – akipotea. Mwili wa marehemu…