Polisi wamnasa mshukiwa wa wizi wa simu mjini Nyeri na kunasa zaidi ya simu 417

BY ISAYA BURUGU,4TH NOV,2023-Makachero wa DCI kaunti ya Nyeri wamefanikiwa kumtia mbaroni mwanamume wa miaka 32 anayeshukiwa kuwa mwizi wa simu na kunasa simu Zaidi ya 417. Kulingana na taarifa hiyo iliyochapishwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya DCI, Kupatikana na…

Ajali

Mhudumu wa Boda Boda Aaga Dunia Kwenye Ajali ya Barabarani Mjini Narok.

Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 63, ambaye ni mhudumu wa boda boda, amefariki na mwingine kujeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani Mjini Narok. Ajali hiyo ilitokea karibu na Mahakama ya Narok kwenye Barabara Kuu ya Narok – Mau, baada ya gari…

Buriani:Wanafunzi watano waliozama na kufa maji katika buastani ya Amazement park mjini Eldoret wazikwa.

BY ISAYA BURUGU,3RD NOV,2023-Wanafunzi watano waliozama na kufa maji walipokuwa wakijiburudisha katika buastani ya Amazement park mjini Eldoret wanazikw ahivi leo.Milli hiyo imeondolewa katika hifadhi ya maiti ya hospitali ya rufaa na mafunzo mjini Eldoret. Itakumbukwa kuwa wanafunzi hao walikuwa wafanye mtihani…

Afueni kwa wanafunzi huku Bodi ya Helb ikisema itatoa fedha za mikopo kufikia juma lijalo

BY ISAYA BURUGU,3RD NOV,2023-Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu imekamilisha usindikaji wa mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa vyuo vikuu na TVETS chini ya Mfumo Mpya wa Ufadhili wa Elimu ya Juu. Hili linafanya kundi la 2022 la Cheti…

Kawira Mwangaza - seneti

Gavana wa Kaunti ya Meru Kawira Mwangaza Kujitetea Mbele ya Bunge la Seneti Juma Lijalo

Gavana wa Kaunti ya Meru, Kawira Mwangaza, atapata fursa ya kujitetea mbele ya Bunge la Seneti wiki ijayo, baada ya bunge hilo,kutenga muda wa kusikiliza hoja ya Kumbandua. Bunge la Seneti limetenga siku za tarehe saba na nane mwezi Novemba kwa ajili…

Waziri Kithure Kindiki aendelea na ziara yake ya kutathmini hali ya usalama katika eneo la kaskazini mwa bonde la ufa.

Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ameendelea na ziara yake ya kutathmini hali ya usalama katika eneo la kaskazini mwa bonde la ufa ambapo amezuru kaunti ya Laikipia hii leo. Kindiki amewahimiza wakaazi wa eneo hilo kutohusisha vita dhidi ya ujambazi…

Wafanyikazi wa shirika la posta Nakuru na Uasin Gishu wagoma wakilalamikia kutolipwa mshahara kwa miezi mitano

BY ISAYA BURUGU 2ND NOV 2023- Wafanyikazi wa shirika la posta kaunti ya Nakuru wamefanya mandamano leo kulalamikia kutolipwa mshara kwa muda wa  miezi mitano sasa. Wakizungumza na wandishi Habari Habari wafanyikazi hao wanasema juhudi za wakuu wao kuingilia  kati kuhakikisha kuwa wanatendewa…

Kizazaa kwenye stendi ya magari Nyeri nyuki wakivamia matatu ya Sacco moja pekee

BY ISAYA BURUGU,2ND NOV,2023-Kizazaa kimeshuhudiwa leo katika kituo cha magari mjini Nyeri baada ya nyuki kuvamia matatu ya sacco moja kwenye kituo hicho. Ni hali iliyozua wasiwasi miongoni mwa abiria waliokuwa wameabiri gari hilo wakiwa tayari kuanza safari yao. Iliwabidi kushuka kutoka…