Mshukiwa wa utapeli akamatwa akijidai afisa wa Tume ya EACC

BY ISAYA BURUGU,1ST NOV,2023-Tume ya maadili na kupambana na ufisadi Eacc imemkamata mshukiwa wa utapeli ambaye amekuwa akijifanya mpelelezi mkuu mwenye mamlaka makubwa katika tume hiyo,huku akidaiwa kuwa na uhusiano wa karibu na mkuruenzi mkuu wa tume hiyo Twalib Mbarak. Shadrack Karira…

Photo of SGR Train in Kenya

Shirika la reli nchini laongeza nauli maeneo yote inayopeana huduma zake za safari  kwa asilimia 50

BY ISAYA BURUGU,1ST NOV,2023-Kampuni ya Kenya Railways imeongeza nauli katika  maeneo yote inayopeana huduma zake za safari  kwa asilimia 50. Katika arifa  ya hivi punde, abiria wa Mombasa sasa watalipa Sh1,500 kuanzia Januari 1, 2024, kutoka Sh1,000 ya sasa. Tikiti zilizonunuliwa kabla…

Enzi ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE, yafungwa Rasmi hii leo.

Enzi ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE, ilifungwa Rasmi hii leo mwendo wa saa nne na dakika arubaini na tano baada ya watahiniwa wa mwisho wa KCPE kumaliza mtihani wa mwisho wa somo la jamii na dini. Zaidi ya…

Mmojawapo ya maeneo ya NCPB ya Kuhifadhi Nafaka nchini

NCPB Kufungua Maghala kwa Wakulima na Wauzaji wa Nafaka

Bodi ya Kitaifa ya Mazao na Uhifadhi wa Nafaka nchini (NCPB) imefungua maghala yake kwa lengo la kutoa fursa kwa wakulima kuweza kuhifadhi mazao yao kwa njia bora na kuepuka hasara zinazoweza kutokea kutokana na uhifadhi duni wa mazao. Kwa mujibu wa…

Mhubiri Ezekiel Odero sasa yu huru mahakama ikitangaza kufunga faili ya kesi yake

BY ISAYA BURUGU,31ST OCT,2023-Mahakama kuu ya Shanzu kaunti ya Kilifi imemwachilia huru mhubiri Ezekiel Odero na faili ya kesi yake kufungwa rasmi. Hii ni baada ya upande wa mashataka kusema kuwa uchunguzi dhidi yake ulikuwa umekamilika na faili ya kesi dhidi yake…

Raia wakigeni adai umiliki wa ardhi ya Familia ya Kirima

BY ISAYA BURUGU,31ST OCT,2023-Kesi imewasilishwa katika Mahakama Kuu ikitaka kusitisha uamuzi wa Mahakama ya Mazingira na Ardhi uliotoa amri ya familia ya Gerishon Kirima kuwafurusha maelfu ya wakazi kutoka eneo la takriban ekari 1,000 katika maeneo ya Njiru, Chokaa na Mihango. Katika…

Wanasiasa watatu wahojiwa kuhusiana na visa vya ukosefu wa usalama Baringo na Samburu

BY ISAYA BURUGU,31ST OCT,2023-Wanasiasa watatu wa eneo la bbonde la ufa hivi leo wamehojiwa na kitengo cha upelelezi wa jinai huko Nakuru kufuatia mashambulizi na ghasia zilizoshuhudiwa hivi maajuzi katika kaunti za Baringo na SAMBURU. Watatu hao mbunge wa Tiaty Wiliam Kamket…

Asasi za usalama zatakiwa kuwachukulia hatua wabunge wanaotuhumiwa kwa kufadhili mashambulizi katika kaunti ya Baringo.

Waziri wa Usalama wa ndani Kithure Kindiki, amezitaka asasi za usalama kuwachukulia hatua za kisheria wabunge watatu wanaotuhumiwa kwa kufadhili mashambulizi katika kaunti ya Baringo. Akizungumza alipozuru kaunti ya Baringo ili kutathmini hali ya usalama eneo hilo wakati mitihani ya kitaifa ya…