Mwanaume Mmoja Narok Afariki Baada ya Gurudumu Alilokuwa Akijaza Pumzi Kulipuka.

Mwanaume mmoja mwenye umri wa makamo amepoteza maisha yake kwa njia isiyo ya kawaida katika tukio la kuhuzunisha kwenye kituo kimoja cha mafuta mjini Narok. Tukio hilo limetokea baada ya gurudumu la gari alilokuwa akilijaza pumzi kulipuka ghafla, na kumwangusha na kumsababisha…

Kaunti za Uasin Gishu na Elgeyo Marakweti zimeorodheshwa kuwa kaunti bora Zaidi katika utenda kazi.

BY ISAYA BURUGU,30TH OCT,2023-Kaunti za Uasin Gishu na Elgeyo Marakweti zimeorodheshwa kuwa kaunti bora Zaidi katika utenda kazi. Utafiti uliotolewa leo na Infotrak uliwapa Pokot Magharibi alama ya wastani ya asilimia 87 ikifuatiwa na Elgeyo Marakwet kwa asilimia 83 na Tharaka Nithi…

Rais Wiliam Ruto azindua simu za kwanza za gharama nafuu zilizoundiwa humu nchini.

  BY ISAYA BURUGU,30TH OCT,2023-Wakenya sasa wanaweza kununua simu za mkononi zilizotengenezwa nchini kwa gharama nafuu baada ya kuzinduliwa kwa kiwanda cha kutengeneza simu hizo  katika eneo la Athi River.Kiwanda hicho kimebuniwa kwa ushirikiano wa kampuni za utoaji huduma za simu humu nchini…

Ofisi ya Gavana wa Kisii Simba Arati ilizingirwa na maafisa wa kitengo cha GSU mapema hii leo.

Ofisi ya Gavana wa Kisii Simba Arati ilizingirwa na maafisa wa kitengo cha GSU mapema hii leo ambapo gavana huyo alizuiliwa kuingia ofisni mwake. Akizungumza na waandishi wa habari, gavana huyo alielezea wasiwasi wake akidai kuwa hiyo ni njama  kumkamata. Alitaja uwezekano…

Rais William Ruto afungua kasha la Mtihani wa Kitaifa katika shule ya msingi ya Kikuyu Township kaunti ya Kiambu

Watahiniwa Milioni 2.6 Waanza Mitihani ya KPSEA na KCPE Kote Nchini.

Watahiniwa milioni 1.2 wa Gredi ya Sita na wengine milioni 1.4 wa darasa la Nane, wameanza rasmi mitihani yao ya KPSEA na KCSE Mtawalia asubuhi ya leo. Maafisa wa wizara ya elimu nchini pamoja na maafisa wa kaunti wamekuwa katika maeneo mbalimbali…

Afisa wa Trafiki Akamatwa na EACC kwa Kuitisha Pesa za “Msamaha” Kutoka kwa Madereva.

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini (EACC) imemkamata afisa wa polisi wa trafiki katika Kaunti ya Kakamega kwa tuhuma za kuitisha fedha kutoka kwa madereva wa matatu kama “msamaha” baada ya kuyakamata magari yao. Afisa huyo kwa jina Monyenye Dennis…

Wizara ya Elimu yasema kuwa imeziba mianya ya  udanganyifu wakati wa mitihani ya kitaifa.

Wizara ya Elimu imesema kuwa imeziba mianya ya  udanganyifu wakati wa mitihani ya kitaifa na kuongeza kuwa imeweka mikakati ya kuzuia kufichuliwa mapema kwa karatasi za mitihani. Wakati wa kikao na wanahabari kuhusu utayari wa wizara hiyo, katibu wa elimu ya msingi…

Gavana Joseph Ole Lenku awataka wakaazi kukumbatia upanzi wa nyasi wakati huu wa mvua

BY ISAYA BURUGU,28TH OCT,2023-Gavana wa kaunti ya Kajiado Joseph Olelenku amewataka wakaazi wa kaunti hiyo kushiriki upanzi wa nyasi na chakula cha mifugo wakati huu wa kipindi cha mvua ili kujiepusha na makali ya kiangazi  jinsi ilivyoshuhudiwa hivi maajuzi. Gvana huyo amesema…