Ruto-Comoros Congo

Rais Wiliam Ruto awasili nchini Kongo Brazzaville kuhudhuria mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa.

BY ISAYA BURUGU,28TH OCT 2023-Rais William Ruto aliondoka nchini jana jioni kuhudhuria kongamano kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa nchini Kongo Brazzaville. Mkutano huo wa siku tatu, unaojulikana kama Mkutano wa Mabonde Matatu umeandaliwa na Umoja wa Mataifa na kuwaleta pamoja viongozi…

Mamlaka ya Mawasiliano nchini  yatangaza nafasi ya kazi  ya Mkurugenzi Mkuu.

Mamlaka ya Mawasiliano nchini  imetangaza nafasi ya kazi  ya Mkurugenzi Mkuu ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na  Ezra Chiloba ambaye alijiuzulu wiki jana. Chiloba aliyejiuzulu kutoka wadhifa huo tarehe 18 mwezi huu na kuashiria mwisho wa miaka miwili katika mamlaka hiyo. Katika notisi…

Matayarisho ya mitihani ya KCPE na KPSEA yandaliwa nchini huku mtihani huo ukitarajiwa kuanza jumatatu ijayo

BY ISAYA BURUGU,27TH OCT 2023-Zoezi la mwigo kwa minajili ya mtihani  wa kitaiafa kwa darasa la nane KCPE na tathmini ya KPSEA  inayotarajiwa kuanza jumatatu wiki ijayo limefanyika katika shule mbali mbali nchini leo. Wanafunzi milioni 1.4 watafanya KCPE katika vituo 28,533…

EL Nino

Idara ya utabiri wa hali ya hewa yaonya kuhusu uwezekano wa mvua kubwa kushuhudiwa katika maeneo mbali mbali wikendi hii

BY ISAYA BURUGU,27TH OCT,2023-Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini imewataka Wakenya katika maeneo mbalimbali kujiandaa kukabiliana na mvua kubwa katika maeneo kadhaa nchini. Katika taarifa yake, idara hiyo ilisema kuwa mikoa hiyo ni pamoja na mikoa ya Bonde la Ufa,…

Wizara ya Ulinzi ya Kenya Kufanya Uwekezaji Mkubwa katika Usalama wa Mtandao

Wizara ya Ulinzi nchini Kenya inaazimia kuimarisha uwezo wa taifa katika kujilinda dhidi ya vitisho vya mtandao kwa lengo la kuhakikisha usalama wa taifa na taarifa zake. Hatua hii inajitokeza kutokana na matamshi ya Waziri wa Ulinzi, Bwana Aden Duale, ambaye amesisitiza…

Wafadhili watatu wa Kimarekani waangamia katika ajali mbaya ya barabarani kwenye Barabara Kuu ya Narok-Maasai Mara.

Wafadhili watatu wa Kimarekani wanaofanya kazi na shirika la Child Refuge Centre International waliangamia katika ajali mbaya ya barabarani kwenye Barabara Kuu ya Narok-Maasai Mara karibu na uwanja wa ndege wa Ewaso nyiro. Watatu hao ambao wamekuwa Narok Magharibi wakiendesha vituo vingine…

Rais Wiliam Ruto azindua magari yatakayotumiwa kupiga jeki elimu katika kaunti zote nchini

BY ISAYA BURUGU 26TH OCT,2023-Sekta ya elimu nchini imepigwa jeki baada yar ais Wiliam Ruto kuzindua magari yatakayotumiwa na maafisa wa elimu katika kaunti zote 47 nchini kufuatilia utenda kazi wa sekta ya elimu. Rais akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa katika…

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Mkurugenzi wa Fedha wa Hospitali ya Nairobi Eric Maigo akiri mashtaka

BY ISAYA BURUGU,26TH OCT,2023-Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Mkurugenzi wa Fedha wa Hospitali ya Nairobi Eric Maigo, Anne Adhiambo, amekiri mashtaka ya mauaji. Alisomewa mashtaka hayo mara tatu kwa lugha ya Kiswahili alipofika mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu Kaanyi Kimondo kuwasilisha…