Mbunge wa Embakasi Magharibi, Mark Mwenje, ameidhinishwa kuwa Naibu Mnadhimu wa Wachache katika Bunge la Taifa, akichukua wadhifa huo kutoka kwa Mbunge Mteule Sabina Chege. Uamuzi huu ulitangazwa rasmi na Spika wa Bunge, Moses Wetangula, baada ya kesi iliyokuwa inazuia mabadiliko katika…
Mahakama ya Rufaa ya Nyeri mapema hii leo ilikataa kusimamisha Bunge la Kaunti ya Meru kujadili hoja ya kumtimua Gavana Kawira Mwangaza. Gavana huyo aliwalisilisha ombi Mahakamani kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Meru dhidi yake wa kusitisha bunge hilo kujadili kuhusu…
Waziri wa Utumishi wa Umma nchini Moses Kuria ametoa ahadi ya kuboresha utendakazi wa watumishi wa umma katika nchi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mipango ya kuboresha idara ya NYS eneo la Ruaraka leo, Waziri Kuria alisisitiza umuhimu wa uwajibikaji kwa watumishi…
BY ISAYA BURUGU,24TH OCT 2023-Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Kapindasum baada ya washukiwa wa ujambazi kuzingira kambi ya maafisa wa polis Baringo ya kusini. Taarifa pia zinaarifu kuwa majangili hao wamezingira shule ya msingi ya Kapindasum na kusababisha hofu .Kwa…
BY ISAYA BURUGU 24TH OCT 2023-Mahakama kuu hivi leo imetowa uwamuzi wa kurefusha amri ya kuizuia serikali kutowapeleka mamia ya maafisa wa polisi nchini Haiti, kupitia mpango unaoungwa mkono na Umoja wa mataifa kwa lengo la kuleta amani katika taifa hilo la…
Mahakama ya Narok imewapiga faini ya shilingi elfu 200 ,elfu 5 na elfu 100 ama kifungo cha mwaka moja gerezani wanaume wawili waliopatikana na hatia ya kuuza nyama ya wanyamapori katika kijiji cha mosiro Narok kaskasini. Wawili hao james parsian kindi mwenye…
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini (EACC) imetoa agizo kwa Serikali ya Kaunti ya Kilifi kusimamisha malipo ya shilingi milioni 103 kuhusiana na zabuni ya kununua mfumo wa usimamizi wa ukusanyaji mapato. Kwa mujibu wa barua iliyotumwa kwa Gavana wa…
BY ISAYA BURUGU 23RD OCT,2023-Kiongozi wa chama cha Narc-Kenya Martha Karua na Katibu Mkuu wa Chama cha Jubilee Jeremiah Kioni hivi leo wamezindua rasmi Kongamano la Uongozi la Kamwene, mungano ambao wanasema utakuwa wa kukuza masilahi kutoka eneo la Mlima Kenya. Akiwahutubia…