Mahakama yamwachilia wakili bandia Brian Mwenda kwa dhamani ya shilingi laki mbili

BY ISAYA BURUGU 23RD OCT 2023-Mahakama ya Nairobi imemwachilia anayedaiwa kuwa wakili ghushi Brian Mwenda kwa dhamana ya Ksh.200,000 pesa taslimu.Hakimu Mkuu wa Milimani, Lukas Onyina, amesema upande wa mashtaka haukutoa sababu za msingi za kumnyima dhamana mshtakiwa. Mwenda wiki iliyopita alifikishwa…

Tume ya Huduma za Mahakama JSC yatangaza nafasi katika Afisi ya Msajili Mkuu wa Mahakama.

Tume ya Huduma za Mahakama JSC imetangaza nafasi katika Afisi ya Msajili Mkuu wa Mahakama huku muhula wa mhudumu wake wa sasa Anne Amadi ukikaribia kukamilika. Katika tangazo lililochapishwa Jumatatu, Tume hiyo ilifichua kuwa muda wa Amadi unatarajiwa kuisha tarehe 13 Januari…

Mfalme Charles Kuzuru KENYA

Rais Ruto Akutana na Kamishna Mkuu wa Uingereza Kuandaa Ziara ya Mfalme Charles III.

Rais William Ruto alikuwa mwenyeji wa Kamishna Mkuu wa Uingereza, Neil Wigan, leo katika Ikulu ya Nairobi, katika jitihada za maandalizi ya ziara ya Mfalme Charles III na Malkia Camilla nchini Kenya. Ziara hiyo inatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 31 mwezi huu wa…

Mwanamke ahumukiwa miaka 10

Mwanamke Afungwa Miaka 10 kwa Kumuua Mwanawe wa mwaka1 ili asafiri UAE.

Mahakama ya Mombasa imemhukumu mwanamke mmoja kutoka eneo la Bombo, Kisauni katika kaunti ya hiyo, kifungo cha miaka 10 gerezani baada ya kuthibitika kuwa alimuua mwanawe wa mwaka mmoja kwa kumtupa kisimani. Mwanamke huyo, Happy Mwenda Mumba, alikuwa akipanga kusafiri kuelekea Umoja…

Kenya yaondoa mahitaji ya viza kwa raia wa Angola katika juhudi za kuimarisha biashara.

Kenya imeondoa mahitaji ya viza kwa raia wa Angola katika juhudi za kuimarisha biashara kati ya mataifa haya mawili. Rais Ruto alitoa tangazo hili leo wakati wa kikao cha pamoja na Rais wa Angola Joao Lourenco katika Ikulu jijini Nairobi. Alisema hatua…

Wanafunzi wawili wa shule ya upili waaga dunia baada ya kubugia pombe haramu Tharaka Nithi

BY ISAYA BURUGU,21ST OCT 2023-Maafisa wa polisi katika kaunti ya Tharaka Nithi wameanzisha uchunguzi kufutia vifo vya wanafunzi wawili wa shule ya upili baada yao kudaiwa kunywa pombe iliyo kuwa na kemikali aina ya Ethanol. OCPD wa eneo la Muthambi John  Ole…

Rais Wiliam Ruto na mwanzake wa Angola Joao Lourenco wakubaliana kufufua mazungumzo yatakayopelekea kurejelewa kwa safari za ndege

BY ISAYA BURUGU,21ST OCT,2023-Rais wa Angola Joao Lurenco amepokelewa rasmi na mwenyeji wake Rais Wiliam Ruto anapoanza ziara rasmi ya siku mbili humu nchini.Hafla ya kumpokea rais huyo imeandaliwa katika ikulu ya Nairobi asubuhi ya leo na kuongozwa na rais Ruto. Gwaride…

Mashujaa Day Narok

SIKU YA MASHUJAA | Wabunge wa Narok Waahidi Kumuunga Mkono Gavana Ntutu.

Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ntutu, ametoa ahadi ya kuimarisha miundombinu katika eneo la Emurua Dikirr. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Ntutu alitangaza kuwa serikali yake imetoa kiasi cha 400,000,000 kwa wadi nne katika eneo hilo ili kushughulikia…