Maandamano Upinzani

Upinzani Waishtaki Serikali kwa Madai ya Kuwaua Watu 75 katika Maandamano

Muungano wa upinzani nchini umewasilisha kesi mahakamani, kuishtaki serikali na kuitisha fidia kwa watu 75 wanaodaiwa kuuwawa na maafisa wa polisi katika maandamano ya kupinga ongezeko la gharama ya maisha nchini. Wakili wa muungano huo, Paul Mwangi, amesema kwamba viongozi wa idara…

Mhubiri Ezekiel Odero afika mbele ya kamati ya seneti inayochunguza mauaji ya shakahola.

Mhubiri wa kanisa la New life centre Ezekiel Odero hii leo alifika mbele ya kamati ya seneti inayochunguza mauaji ya shakahola ili kujibu maswali kuhusu kanisa lake ambalo lilikisiwa kuwa na uhusiano na kanisa la Mhubiri Paul Mckenzie. Odero akizungumza mbele ya…

TSC

TSC yawaachisha kazi walimu ambao wamekuwa wakitafuta uhamisho kutoka Kaskazini Mashariki mwa Kenya kutokana na ukosefu wa usalama

BY ISAYA BURUGU,13TH OCT 2023-Walimu wasio wenyeji na ambao wamekuwa wakitafuta uhamisho kutoka Kaskazini Mashariki mwa Kenya kutokana na ukosefu wa usalama wamepata pigo kubwa baada ya Tume ya Kuajiri Walimu kuwaachisha kazi kwa kutoroka kazini. Hii inafuatia agizo la tume mwezi…

Wizara ya elimu yazindua kalenda ya mwaka ujao 2024 kwa shule za awali, msingi, na sekondari pamoja na vyuo vya mafunzo ya walimu

BY ISAYA BURUGU,13TH OCT 2023-Wizara ya Elimu hivi leo imezindua kalenda ya mwaka ujao 2024 kwa shule za awali, msingi, na sekondari pamoja na vyuo vya mafunzo ya walimu. Shule za awali, msingi na sekondari zitafunguliwa kwa muhula wa kwanza tarehe 8…

RUTO IN LODWAR - VISA

Rais: Tutaondoa Hitaji la Visa Kwa Wote Wanaotaka Kuja Kenya

Rais William Ruto amesema serikali ina mpango wa kufanikisha kuondoa hitaji la visa kwa watalii na wageni wote wanaotaka kusafiri nchini, katika juhudi za kuimarisha utalii na kukuza ufahamu wa tamaduni za Kenya. Akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya tamaduni ya jamii…

Chama cha ODM chaibua wasiwasi kuhusu mpango wa kutumwa kwa maafisa wa polisi wa Kenya nchini Haiti.

Chama cha ODM kimeibua wasiwasi kuhusu mpango wa kutumwa kwa maafisa wa polisi wa Kenya kuongoza ujumbe wa Multinational Security Support (MSS) nchini Haiti. Katika taarifa iliyotiwa saini na Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna, chama hicho kinataka serikali kuangazia upya uamuzi…

Mahakama yatupilia mbali kesi iliyokuwa ikipinga uagizaji na upandaji wa vyakula vya GMO.

Mahakama ya mazingira nchini imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikipinga uamuzi wa serikali kuruhusu uagizaji na upandaji wa vyakula vya GMO. Akitoa uamuzi huo, Jaji Oscar Angote amesema kuwa hakuna ushahidi wa kuonyesha madhara ya vyakula hivyo kwa mazingira au afya ya binadamu…

Afisa wa polisi ajitoa uhai kwa kujipiga risasi jijini Nairobi.

 BY ISAYA BURUGU 11TH OCT 2023-Afisa mmoja wa polisi amefariki  kwa kujitoa uhai baada ya kujipiga risasi kichwani katika makao makuu ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai (DCI) jijini Nairobi. Wenzake walisema alijifungia ndani ya gari lake na kujipiga risasi kichwani kwa bastola…