Naibu rais Rigathi Gachagua atoa wito kwa jamii ya Maa kukumbatia elimu kwa mtoto kike

BY ISAYA BURUGU 11TH OCT 2023-Naibu Rais Rigathi Gachagua ameitaka jamii ya maa kujiepusha na mila potofu hasa ukeketaji, mimba na ndoa za mapema kwa mtoto wa kike. Gachagua akizungumza eneo la Kisherlmuruak Narok magharibi alipongoza hafla ya  ufunguzi wa bweni lililojengwa…

Serikali haitaongeza kandarasi za madaktari zilizotiwa saini kati ya Kenya na Cuba.

Serikali haitaongeza kandarasi za madaktari zilizotiwa saini kati ya Kenya na Cuba kufuatia kukamilika kwa mkataba huo mnamo Juni mwaka huu. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa afya Susana Nakumicha. Akifungua rasmi kongamano lililowaleta pamoja wadau wa afya, Nakhumicha alibainisha kuwa…

Kindiki-polisi

Maafisa wa Polisi Waliohudumu Katika Kituo Kimoja kwa Miaka 3 Kuhamishwa.

Maafisa wa polisi waliohudumu katika kituo kimoja cha Polisi kwa muda wa miaka 3 au zaidi watahamishwa mara moja. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa Usalama Kithure Kindiki, ambaye amesema hatua hii inafuata kuanza kutekelezwa kwa mwongozo mpya unaoongoza utendakazi wa…

Viongozi kaunti ya Mombasa waitaka serikali kuwahuzisha wenyeji katika swala la ubinafsishaji wa bandari

BY ISAYA BURUGU,10TH OCT,2023-Gavana wa Mombasa Abdiswamad Nasiri  amekariri wito wa ubinafsishwaji wa bandari ya Mombasa unaoendelezwa na serikali.Nasir anasema kile anachokataa ni kutowasisha wakaazi wa Mombasa. Nasir ameyasema hayo katika hafla ya elimu katika kaunti ya Mombasa.Naye kinara wa Azimio la…

Wakenya wajumuika kusherehekea siku ya utamaduni ambayo ni sherehe ya kwanza aina yake

BY ISAYA BURUGU 10TH OCT 2023- Mamia ya wakenya hivi leo wamekongamana katika ukumbi wa Bomas jijini Nairobi kusherehekea siku ya utamaduni ambayo ni sherehe ya kwanza ya aina yake iliyongozwa na mama taifa Bi Racheal Ruto . Wito wa wananchi kuungana…

Serikali ya Narok yazindua kituo cha dharura na kukabiliana majanga mjini Narok.

Serikali ya kaunti ya Narok imezindua kituo cha dharura ya kukabiliana majanga mjini Narok. Kituo hiki kimeanzishwa kwa lengo la kuwasaidia wale wanaokumbwa na mikasa mbalimbali na pia kusaidia kuzuia mikasa hii. Akiongoza shughuli ya uzinduzi wa kituo hicho, gavana wa Narok…

pembe za ndovu JKIA

Raia wa Indonesia Akamatwa na Pembe za Ndovu katika Uwanja wa Ndege wa JKIA.

Raia mmoja wa Indonesia amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) akiwa na pembe za ndovu zenye uzani wa kilo 38.4, zinazoaminika kuwa na thamani ya shilingi milioni 10. Mshukiwa huyo alinaswa na maafisa wa usalama kutoka Mamlaka…

Pigo kwa Sabina Chege baada ya kupoteza kiti chake bungeni

BY ISAYA BURUGU 9TH OCT 2023-Mbunge mteule Sabina Chege hivi leo amepoteza wadhifa wake kama Naibu Kinara wa Wachache katika Bunge la Kitaifa.Kesi iliyowasilishwa na Chege katika Mahakama ya Kiambu kupinga uamuzi wa Azimio la Umoja wa kumwondoa katika wadhifa huo ilitupiliwa…