Mahakama kuu yazuia kwa muda hatua ya kupelekwa kwa polisi wa Kenya nchini Haiti

BY ISAYA BURUGU 9TH OCT,2023-Mahakama Kuu imezuia kwa muda kutumwa kwa polisi wa Kenya hadi nchini Haiti au nchi nyingine yoyote kusubiri kusikilizwa kwa ombi lililowasilishwa na muungano wa Thirdway Alliance Kenya na wengine wawili. Walalamishi hao wanahoji kuwa katiba hailengi kutumwa…

Wahariri watakiwa kutekeleza wajibu wao kama ilivyoainishwa katika Kanuni za Maadili ya Uandishi wa Habari.

Baraza la Vyombo vya Habari nchini MCK limewataka wahariri kutekeleza wajibu wao kama ilivyoainishwa katika Kanuni za Maadili ya Uandishi wa Habari nchini ili kuimarisha taaluma katika tasnia ya habari. Afisa mkuu mtendaji wa MCK Bw.David Omwoyo aliwataka wahariri kuhakikisha kuwa taarifa…

Rais William Ruto asaini Sheria mpya

Kiongozi wa Taifa Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Kisumu.

Rais William Ruto, ameendeleza ziara yake katika ukanda wa Nyanza kwa kuongoza kikao cha baraza la mawaziri katika ikulu ya Kisumu asubuhi ya leo. Rais Ruto, ambaye amekuwa katika ziara ya kikazi katika eneo hilo tangu Ijumaa, anatarajiwa kumaliza ziara yake ya…

Mabawabu watatu mjini Migori wauwawa usiku wa kuamkia leo na mwili wa mmoja wao kutupwa katika mto Migori.

Mabawabu watatu mjini Migori waliuwawa usiku wa kuamkia leo na mwili wa mmoja wao kutupwa katika mto Migori. Maafisa wa polisi katika eneo hilo, walidhibitisha kupata miili ya watatu hao asubuhi ya leo, ikiwa na majeraha katika sehemu za shingo na Kichwa.…

Rais Ruto akisalimiana na Gavana Gladys Wanga wa Homabay Baada ya uzinduzi wa Ujenzi wa Barabara za Mfangano.

Rais Ruto Azindua Miradi ya Maendeleo Katika Kaunti ya Homabay.

Rais William Ruto ameendelea na ziara yake katika ukanda wa Nyanza, ambapo leo amezuru kaunti ya Homabay kwa lengo la kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo. Ziara ya Rais ilianza asubuhi ya leo kwa kuzindua mipango ya uboreshaji wa barabara katika…

Sondu - Kisumu Kericho

Rais Ruto Atoa Agizo la Kukamatwa Kwa Wanaosababisha Machafuko Sondu.

Rais William Ruto amejitokeza kwa kishindo na kuvunja kimya chake kuhusu suala la machafuko katika eneo la Sondu, mpakani mwa kaunti za Kericho na Kisumu. Akiwahutubia wananchi leo katika eneo la Nyando, Rais Ruto ametoa agizo la kukamatwa na kushtakiwa kwa wale…

Rais William Ruto aanza rasmi ziara yake ya kikazi katika ukanda wa Nyanza asubuhi ya leo.

Mkuu wa nchi Rais William Ruto ameanza rasmi ziara yake ya kikazi katika ukanda wa Nyanza asubuhi ya leo. Katika ziara hiyo ya siku nne, rais anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuongoza katika uzinduzi wa baadhi ya miradi iliyokamilika…

Siku ya kuwasherehekea walimu

Kuwasherehekea Walimu: Wazazi Wahimizwa Kuwa Karibu na Watoto Wao

Wito umetolewa kwa wazazi kuendeleza mahusiano ya karibu na wana wao ili kuwaongoza katika njia inayofaa. Vilevile njia hii imetajwa kama itakayosaidia kukabiliana na matatizo mbalimbali ya maisha, ikiwemo suala la dawa za kulevya. Wito huu umetolewa na Bi. Jane Sankok, Mwalimu…