Shirika la Haki Africa laelezea wasiwasi wake kuhusu kutumwa kwa maafisa wa usalama wa Kenya nchini Haiti.

Shirika la kutetea haki za binadamu nchini la Haki Africa limeelezea wasiwasi wake kuhusu kutumwa kwa maafisa wa usalama wa Kenya nchini Haiti kwa lengo la kulinda amani. Kenya imetoa maafisa 1,000 wa polisi kuongoza kikosi cha usalama katika kupambana na magenge…

Magavana wa Nyanza sasa wanaitaka serikali kupeleka maafisa wa Kitengo cha GSU katika mpaka wa Kisumu-Kericho.

Magavana kutoka kaunti za Nyanza sasa wanaitaka serikali kupeleka maafisa wa Kitengo cha GSU katika mpaka wa Kisumu-Kericho ili kurejesha hali ya utulivu. Katika taarifa ya pamoja, Magavana Gladys Wanga (Homabay) Ochilo Ayako (Migori) James Orengo, Siaya, na Anyang Nyong’o wa Kisumu…

Hatua ya serikali kuwafurusha watu kutoka msitu wa Mau yaungwa mkono na Viongozi Narok

BY ISAYA BURUGU 5TH OCT 2023-Viogozi mbali mbali akiwemo aliyekuwa diwani wa eneo la Ololulunga Jackson Kamoye wameunga mkono serikali kwa juhudi zake za  kuwafirusha watu kutoka msitu wa mau. Kamoye ambaye ni mwenyekiti wa shirika la Friends of Mau amesema msitu…

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya walimu hivi leo

BY ISAYA BURUGU,5TH OCT,2023-Kenya imeungana na ulimwengu hivi leo kuadhimisha siku ya walimu duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Oktoba.Maadhimisho yam waka huu humu nchini yameandaliwa jijini Nairobi na kuongozwa na tume ya kuwajiri wlaimu nchini TSC. Mkurugenzi mkuu wa tume hiyo…

Washukiwa wanne wa wizi huko Kerugoya kusalia kizuizini hadi Jumatatu ijayo

BY ISAYA BURUGU,4TH OCT,2023-Washukiwa wanne wa wizi wamezuiliwa kwa siku sita na mahakama ya Kerugoya ili kuwapa polisi muda kukamilisha uchunguzi.Wanne hao walikamatwa hiyo jana baada ya kunaswa kwenye kamera ya CCTV wakiwaibia wakaazi wa Kerugoya. Hakimu mkuu wa Kerugayo Charity Kipkorir…

Waziri Murkomen ajitokeza kutetea kazi za kuweka matuta kwenye barabara ya Southern bypass

BY ISAYA BURUGU,4TH OCT,2023-Waziri wa uchukuzi  Kipchumba Murkomen ametetea kazi zinazoendelea kuhusu Southern Bypass huku kukiwa na wasiwasi juu ya matuta “mbaya” ya mwendo kasi. Murkomen ambaye alitembelea tovuti siku ya Jumatano kufuatia ghadhabu ya umma alisema alama zinazofaa zilikuwa zimewekwa na…

Watu wanne waaga dunia katika mapigano Sondu,wenyeji wakitaka serikali kutosalia kimya

BY ISAYA BURUGU 4TH OCT,2023-Watu wanne wameuawa usiku wa kuamkia leo huku makumi ya wengine wakiachwa na majeraha kufuatia kuzuka kwa mapigano mapra eneo la Sondu katika mpaka wa kaunti za Kericho na Kisumu. Wakaazi wa Sondu kaunti ya Kisumu wanaitaka serikali…

Watu watatu wauawa baada ya mapigano mapya kuzuka kati ya jamii zinazoishi kwenye mpaka wa Kisumu na Kericho.

Watu watatu waliuawa baada ya mapigano mapya kuzuka kati ya jamii zinazoishi kwenye mpaka wa Kisumu na Kericho. Wengine wengi wanauguza majeraha baada ya wavamizi waliokuwa wamejihami kwa silaha kushambulia wanakijiji katika eneo la Kadiang’a Mashariki katika Kaunti Ndogo ya Nyakach. Kikosi…