Gavana Anne Waiguru achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Magavana kuhudumu kwa muhula wa pili.

Gavana wa Kaunti ya Kirinyaga Anne Waiguru amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Magavana kuhudumu kwa muhula wa pili. Waiguru alichaguliwa kwa muhula wa pili afisini kupitia makubaliano ya jumla wakati wa mkutano wa baraza hilo uliofanyika Nairobi. Wakati huo huo, Gavana…

Washikadau wa sekta ya elimu walezea wasiwasi wao kuhusu hatma ya elimu nchini ikizingatiwa mapendekezo ya jopo la rais

BY ISAYA BURUGU,30TH SEPT,2023-Masomo ya maelfu ya Watoto humu nchnin yatadhirika iwapo wizara ya elimu itaendelea mbele na kutekeleza mapendekezo ya jopo la rais kuhusu elimu bila kupitisha sheria hitajika bungeni. Haya ni kwa mjibu wa mbunge wa Emuhaya Amboko Milemba.Milemba anasema…

Wahudumu wa bodaboda narok watishia kuzuzia kulipa ushuru kwa serikali ya kaunti kulalamikia kutimizwa matakwa yaowaki

BY ISAYA BURUGU,30TH SEPT,2023-Wahudumu wa boda mjini Narok wamesema katu hawatawataendelea kulipa kodi kwa serikali ya kaunti ya Narok iwapo matakwa yao hayatashughulikiwa. Akizungumza mjini Narok mwenyekiti wa wahudumu wa boda boda Lemayian Punyua amesema serikali ya kaunti ya Narok imekuwa ikiwatoza…

Rais William Ruto Akanusha Mpango wa Kubinafsisha Bandari ya Mombasa.

Rais William Ruto amekanusha vikali madai kuhusu nia ya serikali kubinafsisha huduma za Bandari ya Mombasa. Akizungumza katika kikao cha kitaifa cha wajumbe wa chama cha UDA kilichoandaliwa katika ukumbi wa Bomas Jijini Nairobi siku ya Ijumaa, Rais Ruto amesisitiza kuwa serikali…

Serikali yahirisha uzinduzi wa Maisha Namba na kitambulisho cha kidijitali.

Serikali imeahirisha uzinduzi wa Maisha Namba na kitambulisho cha kidijitali ambacho kingezinduliwa na Rais William Ruto mnamo Jumatatu, Oktoba 2, 2023. Katika taarifa iliyotolewa hii leo na katibu wa idara ya Uhamiaji Julius Bitok, uzinduzi huo uliokuwa ufanyike katika uwanja wa Riadha,…

Mkuu wa utumishi wa umma Felix Kosgey awataka polisi kutilia maanani uadilifu kazini

 BY ISAYA BURUGU,29TH SEPT,2023-Mkuu wa utumishi wa ummma Felix Kosgey hivi leo amekutana na maafisa wakuu wa usalama.Mkutano huo unaofanyika huko Kabete katika kaunti ya Kiambu unajadili kati ya mengine kuboreshwa kwa mazingira ya utenda kazi kwa maafisa wa usalama nchini bali…

NTSA-CARS

NTSA yaongeza saa za kufanya kazi katika juhudi za kuraharakisha mpango wa utoaji Nambari za kizazi kipya

BY ISAYA BURUGU,29TH SEPT,2023-Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imeongeza saa zake za kazi katika hatua inayolenga kuharakisha utoaji wa nambari za kizazi kipya.Katika taarifa iliyotolewa leo, NTSA imedokeza kuwa kumbi na afisi zake zote za benki zitafanya kazi kuanzia…

Kadi za simu

Mshukiwa wa Wizi Kwa Kubadilisha Kadi za Simu Akamatwa Mjini Thika

Maafisa wa Polisi katika Mji wa Thika wamefanikiwa kumkamata mshukiwa mmoja anayedaiwa kuwa sehemu ya genge la wahalifu wanaojihusisha na wizi kwa kubadilisha kadi za simu. Mshukiwa huyo, ambaye ametambuliwa kwa jina la Emmanuel Kiprono, alikamatwa baada ya kujitokeza katika kituo cha…