Uzinduzi wa vitambulisho vya kidijitali nchini utafanyika siku ya jumatatu katika kaunti ya Nakuru. Wizara ya uhamiaji nchini inapania kuzindua kadi ya maisha itakayotumika kusajili maelezo ya wakenya wote kidijitali. Akizungumza alipokutana na wadu watakaoendesha zoezi la usajili, katibu katika idara ya…
BY ISAYA BURUGU,28TH SEPT,2023-Wito umetolewa kina mama sawa na madaktari katika kaunti ya Narok na kote nchini kushirikiana kukomesha dhuluma kwa kina mama wanapojifungua.wito huu umetolewa na kina mama na madaktari kwENYE warsha iliyoandaliwa na shirika la White Rippon Allance Kenya ili…
BY ISAYA BURUGU,28TH SEPT,2023-Aliyekuwa mkuu wa sheria profesa Githu Muigai amesema kuwa watalamu mbali mbali kutoka kwenye Nyanja tofuati wanapaswa kushirikishwa katika kubuni tume ya uchaguzi nchini. Muigai akizungumza katika kikao cha kamati ya uiano inayongozwa na wawakilisha wa marengo ya Azimio…
BY ISAYA BURUGU,27TH SEPT,2023-Shirikisho la Soka barani Afrika limezipa Kenya, Uganda na Tanzania haki ya kuandaa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027. Rais wa CAF Patrice Motsepe alitangaza Zabuni ya Pamoja ya Afrika Mashariki kama mshindi wa haki za kuandaa bonanza la…
BY ISAYA BURUGU,27TH SEPT 2023-Mshukiwa anayedaiwa kumuua Mkurugenzi wa Fedha wa Hospitali ya Nairobi hospitalEric Maigo atasalia chini ya ulinzi wa polisi kwa siku 21 ili kuruhusu polisi kukamilisha uchunguzi. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 16 alikamatwa siku ya Jumanne katika…
BY ISAYA BURUGU,27TH SEPT,2023-Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameelezea wasiwasi wake kuhusu kile anachotaja kuwa ushawishi mkubwa wa wafadhili wa kisiasa kwa serikali. Akizungumza katika warsha ya mashauriano ya sekta mbalimbali kuhusu ajenda ya marekebisho ya sheria ya uchaguzi iliyofanyika…
Chama cha Jubilee sasa kinajitambulisha kuwa chama huru, kisichohusishwa na muungano wa kisiasa wa Azimio la Umoja au Kenya Kwanza. Haya yalibainishwa na kaimu kinara wa chama hicho Sabina Chege katika ukumbi wa Bomas of Kenya ambapo walikuwa wakiwasilisha mapendekezo yao mbele…
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya Mkurugenzi wa Fedha katika Hospitali ya Nairobi Eric Maigo, amekamatwa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka DCI, mshukiwa huyo, ambaye ni msichana mwenye umri wa miaka 16, alikamatwa usiku wa jana katika eneo la Kibera jijini Nairobi. Zoezi…