Shughuli za kimatibabu zatatizika Nakuru madakitari wakianza mgomo

BY ISAYA BURUGU,26TH SEPT,2023-Shughuli za kimatibabu katika hospitali za umma kaunti ya Nakuru zimetatizika leo baa da ya Madakitari katika kaunti ya  kuanza  mgomo wao kulalamikia kile wanachosema ni kukosa kutekelezwa kwa mkataba wao wa kuboresha mazingira ya utenda kazi wao na…

Jamii Narok yatakiwa kukumbatia elimu ya vyuo vya Kiufundi kama njia ya kuwawezesha watoto wao

 BY ISAYA BURUGU,26TH SEPT,2023-Jamii ya kaunti ya Narok imetakiwa kukumbatia taasisi za kiufundi hasa kwa wanafunzi waliokamilisha darasa la nane na kidato cha nne. Wito huu umetolewa na mwenyekiti wa taasisi ya kiufundi ya Maasai Mara Gabriel Tanyasis.Akizungumza wakati wa ukaguzi wa…

EACC yazindua mipango yao ya utendakazi kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC, imezindua mipango yao ya utendakazi kwa kipindi cha miaka mitano ijayo katika ukumbi wa KICC. Afisa mkuu mtendaji wa EACC Twalib Mbarak akizungumza katika hafla hiyo, amesema kwamba ufisadi ni adui mkubwa kwa…

Mazungumzo Ya Azimio na Kenya Kwanza Yaendelea Washikadau Wakiwasilisha Maoni Yao.

Kamati ya kitaifa inayoongoza mazungumzo ya pande mbili kati ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja, imeendelea na vikao vyake kuanzia asubuhi ya leo katika ukumbi wa Bomas jijini Nairobi, huku washikadau kutoka sekta mbalimbali wakiendelea kuwasilisha mapendekezo yao mbele ya kamati…

Wito watolewa kwa wakaazi wa Narok kuzingatia sheria wanapojihusisha na maswala ya ardhi

 BY ISAYA BURUGU,25TH SEPT,2023-Wito umetolewa kwa Wananchi kusaka suluhu ya kudumu kuhusu changamoto za maswala ya ardhi katika kaunti ya Narok.Kamishna wa kaunti hiyo Isaac Masinde kuhakikisha kuwa wanaheshimu sheria na utaratibu ulioko kuhusu na kutojiamulia wenyewe Haswa maeneo ya Narok kusini.Antony…

Viongozi wa kaunti zinazokumbwa na mizozo inayohusiana na wizi wa mifugo wakutana Laikipia kusaka suluhu

 BY ISAYA BURUGU ,25TH SEPT,2023-Viongozi wakisiasa Pamoja na wazee inayojumuisha kaunti za Laikipia,Narok na Samburu na Kajiado hivi leo wameandaa mkutano mjini Nanyuki kaunti ya Laikipia ili kujadili mikakati mwafaka ya kutatua mzozo ambao umeshuhudiwa kwa muda sasa kati  ya  jamii za…

Rais William Ruto amezindua rasmi vifaa vya afya vitakavyotumiwa na wahudumu wa afya wa kijamii.

Rais William Ruto amezindua rasmi vifaa vya afya vitakavyotumiwa na wahudumu wa afya wa kijamii, watakaosaidia kukabiliana na matatizo ya kiafya kote nchini. Mpango huu chini ya mpango wa afya wa UHC, utashuhudia wahudumu wa afya wa kijamii wapatao laki moja wakitumwa…

TSC yawaagiza maafisa wote wa nyanjani ambao wako likizoni kurejea kazini kabla ya mitihani ya kitaifa kung’oa nanga.

Tume ya Kuajiri Walimu nchini TSC imewaagiza maafisa wote wa nyanjani ambao wako likizoni kurejea kazini tarehe 16 mwezi Oktoba 2023, kabla ya mitihani ya kitaifa kung’oa nanga. Afisa mkuu Mtendaji wa TSC Nancy Macharia alisema hatua hiyo inalenga kuhakikisha awamu ya…