Wito waendelea kutolewa kwa wakaazi wa Narok kuchukua tahadhari kufuatia ongezeko la ugonjwa wa Kimeta.

Serikali ya Kaunti ya Narok kupitia afisi ya kilimo na mifugo imeonya wafugaji eneo la Narok Magharibi hasa Endonyorasha kusitisha usafirishaji mifugo ili kutoa nafasi kwa maafisa wa afya kutoa chanjo dhidi ya mkurupuko wa ugonjwa wa kimeta yaani Anthrax. Akiongea na…

watoto

KILIFI: Wazazi Wanaodaiwa Kusababisha Vifo vya Watoto kwa Kuwanyima Matibabu Wakamatwa.

Maafisa wa polisi katika eneo la Kilifi wamewatia nguvuni mwanaume na mke wake, wanaodaiwa kuhusika na vifo vya watoto wao wawili kwa kukataa kuwapeleka hospitalini ili kupokea huduma za matibabu. Tukio hili la kusikitisha limejitokeza baada ya wazazi hao kukataa kuwapeleka hospitalini…

Mitihani

Serikali Yaanza Maandalizi ya Mitihani ya Kitaifa Kabla ya Kuanza kwa El Nino.

Serikali ya Kenya imechukua hatua za dharura kwa kushirikiana na idara mbalimbali na serikali za kaunti, ili kuhakikisha kuwa maandalizi ya mitihani ya kitaifa yanafanyika kwa ufanisi mwishoni mwa muhula huu. Hatua hii inakuja wakati ambapo maeneo mengi ya taifa yanatarajiwa kukumbwa…

Wakaazi wa Narok waonywa dhidi ya kutokula mizoga ya wanyama kufuatia ongezeko la ugonjwa wa kimeta.

Serikali ya Kaunti ya Narok imetoa onyo kwa wakaazi wanaoishi katika maeneo yanayopakana na mbuga za wanyama pori dhidi ya ugonjwa wa kimeta yaani Anthrax. Akizungumza afisini mwake waziri wa afya na usafi wa umma katika kaunti ya Narok Antony Lemunkuk alidhibitisha…

Makenzi

Makenzi Kuzuiliwa kwa siku zaidi, Serikali ikiitisha siku 180.

Mhubiri maarufu anayehusishwa na utoaji wa mafunzo ya kupotosha katika msitu wa Shakahola, Paul Makenzi, ataendelea kusalia gerezani kwa muda zaidi. Hii leo, upande wa mashtaka leo uliwasilisha ombi mahakamani kutaka mhubiri huyo na washukiwa wenzake wazuiliwe kwa siku 180 zaidi ili…

Serikali yapania kuwapa maafisa wa usalama vifaa vya kisasa vya kuwalinda dhidi ya wahalifu.

Serikali itawapa maafisa wa usalama vifaa vya kisasa vya kuwalinda dhidi ya wahalifu waliojihami na kuwawezesha kuwalinda Wakenya na mali zao.Haya ni kwa mujibu wa Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki. Akizungumza Jumatatu katika Kaunti ya Wajir wakati wa kutathmini utendakazi…

Askofu Oballa Awahimiza Wanafunzi Kujifunza Kutoka Kwa Maisha ya Mama Maria.

Askofu wa Jimbo Katoliki la Ngong, John Oballa Owaa, ametoa wito kwa wanafunzi kuimarisha maisha yao ya sala kama njia ya kukabiliana na changamoto. Askofu alitoa wito huu wakati wa homilia yake kwenye misa ya kusherehekea miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Shule…

Mwili wa msusi aliyetoweka wiki mbili zilziopita huko Mlolongo wapatikana Chooni

BY ISAYA BURUGU,12TH SEPT,2023-Msusi aliyetoweka wiki mbili zilizopita amekutwa ameuawa na mwili wake kutupwa kwenye shimo la choo eneo la Mlolongo, kilomita chache kutoka kwenye kituo chake cha kazi.Taarifa zasema kuwa  Mwili huo uliokuwa ukioza wa Jane Mwende Mwanzia mwenye umri wa…