Serikali yapania kuzindua zoezi la usajili wa vitambulisho vya kidijitali.

Serikali imetenga Ksh. bilioni 1 itakayotumika katika zoezi la usajili wa vitambulisho vipya vya kidijitali kwa Wakenya wote. Katibu Mkuu wa Uhamiaji Julius Bitok amesema kuwa vitambulisho hivyo ambavyo vitatolewa kwa raia wote vinanuiwa kuondoa vitambulisho vinavyotumika kwa sasa. Akizungumza baada ya…

Elisha Odhiambo

PPDT Yasitisha uamuzi wa ODM Kumtimua Mbunge wa Gem Elisha Odiambo.

Jopo la kutatua mizozo ya kisiasa nchini (PPDT) limetoa uamuzi wa kusitisha hatua ya chama cha ODM ya kumtimua Mbunge wa Gem, Elisha Odhiambo kutoka kwenye chama hicho. Uamuzi huu unakuja baada ya Mbunge huyo kuwasilisha kesi mbele ya jopo hilo kupinga…

DCI

Waziri wa Usalama wa Ndani Aeleza Mipango ya Kuboresha Huduma za DCI.

Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki, ameweka wazi mipango ya kuboresha mfumo wa teknolojia katika Idara ya Upelelezi (DCI) nchini. Hatua hii inalenga kuongeza ufanisi wa huduma zinazotolewa na DCI kwa umma. Mipango hiyo imekuja baada ya mkutano kati ya Waziri…

Odinga akutana na magavana washirika wa muungano kutoka Jumuiya ya Kiuchumi Kanda ya Ziwa

 BY ISAYA BURUGU,11TH SEPT 2023-Kiongozi wa Azimio La Umoja Raila Odinga hivi leo  amekutana na magavana washirika wa muungano kutoka Jumuiya ya Kiuchumi Kanda ya Ziwa.Aliambatanisha picha yake na magavana Gladys Wanga (Homa Bay), Anyang’ Nyong’o (Kisumu), Simba Arati (Kisii), James Orengo…

Ripoti ya NACADA yadokeza kuwa matumizi ya pombe yamekidhiri miongoni mwa wafanyikazi wa sekta ya umma

BY ISAYA BURUGU,11TH SEPT 2023-Mkenya mmoja kati ya 20 walio na umri wa kati ya miaka  15 na 65 wana uraibu wa pombe. Haya ni kwa mjibu wa utafiti KUHUSU hali ya matumizi ya mihadarati kwa kipindi cha mwaka 2022  uliyofanywa na…

Idadi ya wakenya wanaotumia bhangi yaongezeka kwa asilimia 90.

Idadi ya wakenya wanaotumia bhangi imeongezeka kwa asilimia 90 ndani ya miaka mitano iliyopita. Haya ni kwa mujibu wa utafiti wa hivi punde uliofanywa na mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya nchini NACADA. Utafiti huo wa kitaifa kuhusu matumizi ya dawa…

El Niño

Gavana Sakaja Azindua Mipango Ya Kupambana na Athari za El Niño Jijini Nairobi.

Idara ya Mazingira katika Serikali ya Kaunti ya Nairobi imechukua hatua muhimu katika kuhakikisha usafi na usalama wa jiji hilo wakati wa mvua ya El Niño, inayotarajiwa katika maeneo mbalimbali ya taifa. Hatua hii inajumuisha kuajiri vijana wapatao 3500 ambao watachangia katika…

Rais William Ruto afungua rasmi afisi mpya za UDA eneo la Kati katika mji wa Nyeri.

Rais William Ruto amefungua rasmi afisi mpya za UDA eneo la Kati katika mji wa Nyeri. Rais Ruto aliwashukuru wakazi wa eneo hilo kwa kuunga mkono UDA na kuongeza kuwa watafanya uchaguzi mwezi Desemba ili kuwachagua viongozi wa chama.Alisema hatua hiyo itaimarisha…