BY ISAYA BURUGU,12TH SEPT,2023-Msusi aliyetoweka wiki mbili zilizopita amekutwa ameuawa na mwili wake kutupwa kwenye shimo la choo eneo la Mlolongo, kilomita chache kutoka kwenye kituo chake cha kazi.Taarifa zasema kuwa Mwili huo uliokuwa ukioza wa Jane Mwende Mwanzia mwenye umri wa…
Serikali imetenga Ksh. bilioni 1 itakayotumika katika zoezi la usajili wa vitambulisho vipya vya kidijitali kwa Wakenya wote. Katibu Mkuu wa Uhamiaji Julius Bitok amesema kuwa vitambulisho hivyo ambavyo vitatolewa kwa raia wote vinanuiwa kuondoa vitambulisho vinavyotumika kwa sasa. Akizungumza baada ya…
Jopo la kutatua mizozo ya kisiasa nchini (PPDT) limetoa uamuzi wa kusitisha hatua ya chama cha ODM ya kumtimua Mbunge wa Gem, Elisha Odhiambo kutoka kwenye chama hicho. Uamuzi huu unakuja baada ya Mbunge huyo kuwasilisha kesi mbele ya jopo hilo kupinga…
Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki, ameweka wazi mipango ya kuboresha mfumo wa teknolojia katika Idara ya Upelelezi (DCI) nchini. Hatua hii inalenga kuongeza ufanisi wa huduma zinazotolewa na DCI kwa umma. Mipango hiyo imekuja baada ya mkutano kati ya Waziri…
BY ISAYA BURUGU,11TH SEPT 2023-Kiongozi wa Azimio La Umoja Raila Odinga hivi leo amekutana na magavana washirika wa muungano kutoka Jumuiya ya Kiuchumi Kanda ya Ziwa.Aliambatanisha picha yake na magavana Gladys Wanga (Homa Bay), Anyang’ Nyong’o (Kisumu), Simba Arati (Kisii), James Orengo…
BY ISAYA BURUGU,11TH SEPT 2023-Mkenya mmoja kati ya 20 walio na umri wa kati ya miaka 15 na 65 wana uraibu wa pombe. Haya ni kwa mjibu wa utafiti KUHUSU hali ya matumizi ya mihadarati kwa kipindi cha mwaka 2022 uliyofanywa na…
Idadi ya wakenya wanaotumia bhangi imeongezeka kwa asilimia 90 ndani ya miaka mitano iliyopita. Haya ni kwa mujibu wa utafiti wa hivi punde uliofanywa na mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya nchini NACADA. Utafiti huo wa kitaifa kuhusu matumizi ya dawa…
Idara ya Mazingira katika Serikali ya Kaunti ya Nairobi imechukua hatua muhimu katika kuhakikisha usafi na usalama wa jiji hilo wakati wa mvua ya El Niño, inayotarajiwa katika maeneo mbalimbali ya taifa. Hatua hii inajumuisha kuajiri vijana wapatao 3500 ambao watachangia katika…