Wakfu wa Safaricom kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Narok wametia saini mkataba wa matibabu utakaowawezesha wakaazi wa kaunti hii kupokea huduma za afya bila malipo yoyote. Kulingana na mwenyekiti wa wakfu huo Joseph Ogutu mkataba huo utatekelezwa kwa muda wa…
BY ISAYA BURUGU,7TH SEPT,2023-Vyuo vikuu na taasisi zingine za elimu ya juu humu nchini vimetakiwa kushirikiana na tassisi zingine za elimu ya juu baranai Afrika na kwingineko ulimwenguni ili kuimarisha uwezo wake kutoa mafunzo bora Zaidi yatakayowawezesha wasomi kufanikiwa katika ulimwengu wa…
BY ISAYA BURUGU 7TH SEPT,2023-Kampuni ya Kusambaza Umeme Nchini (KPLC) imetoa ilani kuhusu kukatizwa kwa umeme katika maeneo kadhaa hivi leo Alhamisi.Katika taarifa yake, kampuni hiyo ilitangaza kuwa maeneo kadhaa katika kaunti sita za Kenya yatakosa umeme kati ya saa mbili asubuhi…
Waziri wa elimu Ezekiel Machogu ameeleza kuwa zaidi ya wanafunzi laki moja tayari wametuma maombi yao wakitafuta fedha za ufadhili wa masomo pamoja na HELB kufikia jana tarehe 5. Machogu hata hivyo amesema kuwa asilimia 40 ya wanafunzi kati ya 265,000 bado…
BY ISAYA BURUGU,6TH SEPT,2023-Kamati kuu ya chama cha ODM imafikia kumtimua chamani mbunge wa Gem Elisha Odhiambo , Seneta wa Kisumu Tom Ojienda mbunge wa Bondo Gideon Ochanda , mbunge wa Langata Felix Odiwuor na Caroli Omondi ambaye ni mbunge wa eneo…
BY ISAYA BURUGU,6TH SEPT 2023-Serikali imepitisha Azimio la Nairobi kutenga fedha zitakazoelekezwa katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi. Viongozi wameahidi kuchangisha anagalau dola bilioni mia moja kufadhili miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa. Katika kongamano la Afrika kuhusu…
BY ISAYA BURUGU 6TH SEPT 2023-Mahakama kuu nchini imefutilia mbali uteuzi wa Alice Kering kama mwakilishi wadi mteule kwenye bunge la kaunti ya Narok. Mahakama hiyo kupitia jaji Francis Gikonyo imempa ushindi Josphine Seneyio Torome aliyewasilisha kesi ya kupinga uteuzi huo wa…
Maseneta nchini Kenya wanapanga kuwasilisha mswada mbele ya bunge la taifa lenye lengo la kuzuia magavana waliomaliza mihula yao kushiriki katika siasa mara moja baada ya kumaliza muda wao wa uongozi. Kulingana na mapendekezo hayo, wanasiasa waliohudumu kama magavana hawataruhusiwa kuwania nyadhifa…