MAKAZI

Kongamano La Hali Ya Anga: Rais Ruto Aeleza Umuhimu wa Kuwekeza katika Makazi.

Rais William Ruto ametoa wito kwa serikali za Afrika kuelekeza juhudi zao kwenye mipango ya kuboresha makazi ya wananchi wao, hasa wale wanaoishi katika vitongoji duni. Katika hotuba yake siku ya tatu ya kongamano la Hali ya Anga barani Afrika, Rais Ruto…

Kongamano la Mazingira laingikia siku ya pili jijini Nairobi,viongozi Afrika wakishauriwa kuungana kusaka suluhu

 BY ISAYA BURUGU,5TH SEPT,2023-Rais William Ruto ameonya kuwa mataifa mengi barani Afrika yanazama katika madeni kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya anga.Akihutubia siku ya pili ya kongamano la kwanza la hali ya hewa barani Afrika katika ukumbi wa KICC, Ruto amesema…

Serikali yapiga marufuku mikutano ya kisiasa eneo la Rungu ya Moi mjini Narok

 BY ISAYA BURUGU,5TH SEPT,2023-Kamishna wa kaunti ya Narok Isaac Masinde  amewaonya wanasiasa walio na mpango wa kuandaa mkutano eneo la Rungu ya Moi mjini Narok kuwa watakabiliwa vikali kisheria. Kamishna awa huyo akizungumza na wandishi Habari amewashutumu viongozi wakiasiasa walio na mazoea…

Polisi wamkamata jambazi anayedaiwa kuwahangaisha wakaazi wa Kayole,Nairobi

 BY ISAYA BURUGU 5TH SEP 2023-Polisi jijini Nairobi wamemkamata mshukiwa wa ujambazi aliyepia kiongozi wa genge la wahalifu linalosemekana kuwahangisha  wakazi wa Kayole katika Kaunti Ndogo ya Embakasi. Kulingana na taarifa ya mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai (DCI), mshukiwa, Luis Otieno almaarufu…

Msichana wa miaka 19 abakwa na kuuawa na watu wasiojulikana kule Tetu,Nyeri

BY ISAYA BURUGU 4TH SEPT 2023-Hali ya huzuni na majonzi imekumba Kijiji cha Kamahuru katika eneo bunge la tetu kaunti ya Nyeri baada ya msichana wa miaka 19 kuawa na mwili wake kutupwa katika shamba moja eneo hilo. Msichana huyo anasemekana kupotea…

Gavana wa Narok amsuta Odinga kwa matamshi yake kuwa Ntutu hakushinda kwa haki kiti cha ugavana

 BY ISAYA BURUGU 4TH SEPT,2023-Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ntutu amemsuta kinara wa azimio la umoja Raila Odinga kwa matamshi yake alipozuru kaunti ya Narok  jana. Ntutu akizungumza alipongoza uzinduzi wa  eneo pana la kiviwanda kule  la Limanet viungani mwa mji…

Kenya yajitahidi kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu kupiga jeki mpango wa lishe shuleni

Kenya inajitahidi kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu kupiga jeki mpango wa lishe shuleni ili kuongeza idadi ya watoto wanaonufaika na mpango huo. Haya ni kwa mujibu wa Naibu Rais Rigathi Gachagua.Akizungumza alipomkaribisha Waziri wa Mazingira na Mabadiliko ya Hali ya…

Hali ya Anga

Kongamano la Kwanza la Hali ya Anga Barani Afrika Lang’oa Nanga KICC, Nairobi.

Kongamano la kwanza la hali ya anga barani Afrika limeng’oa nanga asubuhi ya leo, katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa KICC jijini Nairobi. Kongamano hili linapania kuangazia jinsi ya kulikabili tatizo la mabadiliko ya hali ya anga hasa katika bara la…