Kinara wa chama cha Azimio La Umoja, Raila Odinga, ametoa kauli kali kumkosoa Rais William Ruto kuhusu matamshi yake ya hivi karibuni yanayowalenga wanaodaiwa kuhusika na ufisadi nchini Kenya. Raila Odinga, ambaye alikuwa akizungumza kwenye hafla ya mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa…
BY ISAYA BURUGU 2ND SEPT 2023-Jumla ya watu 1,699,759 wamepokea chanjo ya kipindupindu tangu Agosti 3 ilipozinduliwa kampeni ya chanjo ya Oral Cholera (OCV) inayolenga kaunti nane zilizo katika hatari kubwa ambapo milipuko ya ugonjwa huo imeripotiwa mara kwa mara. Katika taarifa…
Rais William Ruto amewaongoza katika uzinduzi wa mpango wa usafiri unaotumia nguvu za umeme, kwenye hafla iliyoandaliwa katika kaunti ya Mombasa. Mpango huo, unaojulikana kama National E-Mobility Programme, una lengo la kuimarisha matumizi ya nguvu za umeme kama njia mbadala ya nishati…
BY ISAYA BURUGU 1ST SEPT 2023-Rais William Ruto leo ametia saini Miswada miwili muhimu: Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Pesa na Ufadhili wa Ugaidi, 2023, na Mswada wa Marekebisho ya Mabadiliko ya Tabianchi. Miswada hii inawakilisha…
BY ISAYA BURUGU 1ST SEPT,2023-Serikali inalenga wakulima 176000 katika wamu ya pili ya usajili wa ruzuku ya mbolea katika kaunti ya Migori. Kamishna wa kaunti ya Migori David Gitonga aliyekuwa akizungumza katika mkutano uliyowaleta Pamoja wakuu wa kilimo kutoka serikali ya kaunti,utawala…
Waziri wa Afya nchini, Susan Nakhumicha, ametoa onyo kuhusu hatari za kiafya zinazoweza kutokea kwa Wakenya iwapo wataendelea kushiriki katika shughuli za usajili kwa huduma za World Coin. Huduma hizi za sarafu ya kidijitali zilihitaji wananchi kupiga picha ya mboni za macho…
Mkurugenzi mteule wa mashataka ya umma Renson Mulele amehojiwa hii leo na kamati ya sheria katika bunge la kitaifa. Mulele alitakiwa kueleza sababu halisi za kuondolewa kwa kesi za watu mashuhuri nchini mahakamani. Mulele aliyehudumu katika ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya…
BY ISAYA BURUGU,31ST AUG 2023-Kampuni ya Kusambaza Umeme Nchini (KPLC) kwa mara nyingine imetangaza kukatizwa kwa umeme ambako kumepangwa kufanyika leo Alhamisi. Maeneo kadhaa katika takriban kaunti saba nchini yatakosa umeme kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni. Kaunti…