Mfanyabiashara Nancy Kigunzu, maarufu ‘Mathe wa Ngara’ anyimwa dhamana katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya.

BY ISAYA BURUGU 31ST AUG 2023-Mfanyabiashara Nancy Kigunzu, maarufu kwa jina la ‘Mathe wa Ngara’ mitaani, amenyimwa dhamana katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya.Mahakama ilisema katika uamuzi wake kuhusu ombi la dhamana kwamba mfanyabiashara huyo anaweza toroka  iwapo atapewa dhamana kutokana…

Idadi ya watu wanaokumbwa na baa la njaa yapungua nchini katika kipindi cha mwaka mmoja uliyopita

BY ISAYA BURUGU,30TH AUG 2023-Waziri wa Africa mashariki na maeneo kame nchini Rebbecca Miano amesema baa la njaa limepungua humu nchini kutoka  zaidi watu milioni 4.4 hadi watu milioni mbili 2.8 mwaka huu. Akizungumza alipozuru Kampuni ya mamlaka ya Maendeleo Ewasonyongiro kusini…

Kamati yakitaifa itakayoendesha mazungumzo kati ya Azimio la umoja na Kenya Kwanza yabuniwa rasmi

BY ISAYA BURUGU 30TH AUG 2023-Miungano ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja imekubali kuruhusu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka kuendelea na majukumu yake.Wakizungumza katika ukumbi wa Bomas hivi leo  Timu hiyo inayoongozwa na kinara wa Wiper  Makamu wa Rais Kalonzo…

Miungano ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja yatia saini sera ya mfumo wa mazungumzo.

Miungano ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja imetia saini sera ya mfumo wa mazungumzo.Mfumo huo wa mazungumzo utakuwa waraka wa kisheria ambao utaongoza mazungumzo na kutoa muda uliopangwa. Utiaji saini wa sera hiyo unajiri siku moja baada ya Seneti kuidhinisha rasmi…

EL Nino

Mvua Kubwa za El Nino Kushuhudiwa Nchini Kati ya Septemba na Oktoba 2023.

Idara ya Utabiri wa Hali ya Anga nchini imeonya kuwa Taifa linakaribia kushuhudia mvua kubwa aina ya El Nino katika kipindi cha mvua za vuli, kuanzia mwezi wa Septemba hadi mwezi Oktoba mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na idara hiyo leo imeonyesha kuwa…

Matamshi ya rais Ruto kuhusu wawekezaji wakigeni waliowekeza katika sekta ya sukari nchini yazidi kukashfiwa

BY ISAYA BURUGU,29TH AUG 2023-Chama cha wanasheria nchini LSK na masharika ya haki za kibinadamu kimekashfu matamshi yar ais Wiliam Ruto kuwaonya wale waliowasilisha kesi mahakamani kuhusu umiliki wa kampuni ya sukari ya Mumias kuwa wanakumbwa na uwezekano wa kufurushwa humu nchini,kufungwa…

Mahakama yatupilia mbali kesi dhidi ya Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino kumjeruhi DJ Elvove

BY ISAYA BURUGU 29TH AUG 2023-Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ameachiliwa huru katika kesi aliyoshtakiwa kuhusiana na kumpiga risasi Felix Orinda, maarufu kama Dj Evolve. Haya yanajiri baada ya DJ Evolve kutoa ushahidi wake mahakamani na kuwasilisha kwamba hakuona mbunge huyo…

EWASO NGIRO

Wafugaji Kaunti ya Narok Watakiwa Kutoweka Alama kwenye Ngozi za Mifugo.

Wafugaji na wakulima wa mifugo katika kaunti ya Narok wameshauriwa dhidi ya kuendelea na hulka ya kuweka alama kwenye ngozi za mifugo yao. Ushauri huu umetolewa na viongozi mbalimbali, wakiwemo katibu katika idara ya mifugo nchini, Jonathan Mwake, na naibu gavana wa…