KAKAMEGA

Rais Ruto Aandaa Kikao Cha Baraza La Mawaziri Katika Ikulu Ya Kakamega

Rais William Ruto ameandaa kikao cha Baraza la Mawaziri asubuhi ya leo katika ikulu ndogo ya Kakamega, huku akitarajiwa kukamilisha ziara yake katika ukanda wa magharibi mwa taifa. Katika ratiba yake siku ya leo, rais pia ameratibiwa kuzindua ujenzi wa nyumba za…

Kaunti ya Narok kunufaika na mikakati ya serikali kuongeza uzalishaji wa maziwa

BY ISAYA BURUGU 28TH AUG 2023-Serikali kupitia wizara ya vyama vya ushirika na biashara nchini imetenga shilingi bilioni 3.8 kwa lengo la kuimarisha sawa na kupanua viwanda vya maziwa vya KCC katika maeneo tofauti humu nchini.Kaunti ya Narok imetengewa shilingi milioni 700…

Nancy Kigunzu almaarufu Mathe wa Ngara ataka kujua zilikopelekwa shilingi Ksh.13.4M ambazo polisi walimpata nazo.

BY ISAYA BURUGU 28TH AUG 2023-Nancy Kigunzu almaarufu Mathe wa Ngara sasa anataka kujua Ksh.13.4M ambazo polisi walimpata nazo zilipelekwa wapi. Kupitia kwa mawakili wake Danstan Omari na Cliff Ombeta, Mathe wa Ngara anasema kuwa pesa hizo zinafaa kuwa kielelezo na hazikupaswa…

Zoezi la kuwasajili makurutu wa jeshi lang’oa nanga rasmi kote nchini.

Zoezi la kuwasajili makurutu wa jeshi limeng’oa nanga rasmi hii leo kote nchini huku onyo ikitolewa kwa maafisa wa jeshi na wananchi dhidi ya kujihusisha na masuala ya udanganyifu wakati wa zoezi hilo. Kwenye kikao na wanahabari, naibu mkuu wa majeshi luteni…

Aden-Duale

Waziri wa Ulinzi wa Aden Duale Azuru India Kwa Ziara ya Siku 3.

Waziri wa Ulinzi nchini Aden Duale, ameanza ziara rasmi ya siku tatu nchini India, katika juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na kidiplomasia kati ya Kenya na India. Duale aliwasili nchini India mapema leo, katika izara yake ya kwanza kwenye tifa hilo,…

JKIA

Mkurugenzi Mkuu wa KAA Alex Gitari Aacha Kazi kufuatia Hitilafu ya Umeme JKIA.

Waziri wa Uchukuzi nchini, Kipchumba Murkomen, amechukua hatua kali kufuatia matatizo yaliyotokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kutokana na hitilafu za umeme katika maeneo kadhaa ya taifa. Matatizo hayo yalisababisha usumbufu mkubwa kwa abiria na shughuli za…

Waziri wa Kawi Davis Chirchir na Afisa Mkuu Mtendaji wa Kenya Power Joseph Siror watakiwa kufika mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu Kawi.

Bunge la Kitaifa limemtaka waziri wa Kawi Davis Chirchir na Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya usambazaji umeme nchini Kenya Power Joseph Siror kufika mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu Kawi Alhamisi wiki ijayo ili kujibu maswali kufuatia tatizo la kukatika kwa…

Rais Wiliam Ruto aanza rasmi ziara ya siku tano eneo la magharibi mwa nchi

BY ISAYA BURUGU 2TH AUG 2023-Rais  William Ruto amewasili katika uwanja mdogo wa ndege wa kakamega jana jioni tayari kuanza ziara yake ya siku tano eneo la magharibi  inayoanza rasmi hivi leo. Rais Ruto alipokelewa na mkuu wa mawaziri  Musalia Mudavadi, gavana…