Washukiwa wawili wa genge la uhalifu wakamatwa Vihiga

BY SAIAYA BURUGU 25TH AUG 2023-Washukiwa wawili wa wizi wa kimabavu wanaoaminika kuwa na uhusiano na genge kuu la wahalifu linaloripotiwa kumwibia ajuza wa miaka 76 huko Serem kaunti ya Vihiga  mwezi jana kabla ya kumbaka ajuza huyo na kisha kumuua wamekamatwa.…

Wakazi wa Narok wanufaika na msaada wa kimatibabu bila malipo kutoka kwa wahisani

BY ISAYA BURUGU 2TH AUG 2023-Wakazi wa  mji wa Narok  wamenufaika na msaada wa huduma za matibabu bila malipo  zilizotolewa katika uwanja wa Wiliam Ole Ntimama mjini Narok na shirika la AMREF kwa ushirikianolo na hospitali ya rufaa ya Narok saw ana…

Kindiki

Waziri Kindiki aahidi Kusafisha Idara ya Uhamiaji na Kuwaondoa Wafisadi.

Waziri wa Usalama wa Ndani nchini, Kithure Kindiki, amekiri rasmi kuwepo kwa tatizo kubwa la ufisadi na ubaguzi katika Idara ya Uhamiaji ya nchi. Kauli hii imetolewa wakati wa kikao cha Kamati ya Utawala wa Kitaifa katika Bunge la Kitaifa. Waziri Kindiki…

Mtandao wa Tiktok utafanya kazi na Kenya katika mchakato wa kutekeleza mageuzi.

Mtandao wa kijamii unaotumia video fupi kupitisha maudhui wa Tiktok utafanya kazi na Kenya katika  mchakato wa kutekeleza mageuzi na kufuatilia maswala yanayochapishwa na wakenya katika mtandao huo. Hatua hiyo ,kwa mjibu wa rais Wiliam Ruto itahakikisha kuwa yanayochapishwa  kwenye jukwaa hilo…

Padri Micheal Muriuki aliyetekwa nyara jana nyumbani kwa wazazi wake eneo la Mau Narok apatikana akiwa salama

BY ISAYA BURUGU 24TH AUG 2023-Padri Micheal Muriuki aliyetekwa nyara jana nyumbani kwa wazazi wake eneo la Mau Narok amepatikana akiwa salama.Padri huyo anaripotiwa kupatikana huko Kaptembwa Nakuru magharibi hivi leo asubuhi akiwa amefungwa  kwa Kamba.Amekimbizwa katika hospitali ya rufaa ya Nakuru.…

Mtandao wa Tiktok kushirikiana na kenya katika kudhibiti maswala yanayochapishwa na Wakenya

BY ISAYA BURUGU 24TH AUG 2023-Mtandao wa kijamii unaotumia video fupi kupitisha maudhui wa Tiktok utafanya kazi na Kenya katika  mchakato wa kutekeleza mageuzi na kufuatilia maswala yanayochapishwa  na wakenya katika mtandao huo.Hatua hiyo ,kwa mjibu war ais Wiliam Ruto itahakikisha kuwa…

Waziri Ababu Namwamba akanusha kuwatelekeza wanariadha wa humu nchini, na ubadhirifu wa fedha

BY  ISAYA BURUGU,23RD AUG 2023-Waziri wa michezo Ababu Namwamba  amekanusha madaui kuwa afisi yake imewapuuza wanariadha wa humu nchini,wanamichezo sawa na wanawake wanajihusisha katika michezo. Akifika mbele ya bunge hivi leo Namwmaba ambaye alikuwa akijibu maswali kuhusu kuipuuza timu ya wanamichezo wenye…

Gavana wa zamani wa kakamega Wycliffe Oparanya akamatwa kwa madai ya ufisadi

BY ISAYA BURUGU 23RD AUG 2023-Aliyekuwa Gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya na mkewe Priscillah Oparanya wamekamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kufuatia uvamizi wa nyumba zao za Nairobi na Kakamega. Gavana huyo wa zamani alihojiwa na maafisa wa…