Ababu Namwamba

Waziri wa Michezo Ababu Namwamba Kujibu Maswali ya Wabunge Adhuhuri ya Leo.

Waziri wa Michezo nchini, Ababu Namwamba, anatarajiwa kujiwasilisha bungeni adhuhuri ya leo, ili kujibu maswali kutoka kwa wabunge, hususan baada ya kuibuka kwa madai ya utumizi mbaya wa ofisi yake. Baadhi ya maswala ambayo Waziri Namwamba anatarajiwa kujibu ni pamoja na jukumu…

Kizazaa chashuhudiwa Kerugoya, mwakilishi wa kike Kirinyaga Jane Maina akijeruhiwa

BY ISAYA BURUGU 22ND AUG 2023-Kizazaa kimeshuhudiwa leo katika kituo cha polisi cha Kerugoya baada ya makundi mawili hasimu kisiasa kukabiliana NA kupelekea mwakilishi kina mama  kaunti ya Kirinyaga Jane Njeri Maina akipata majeraha mabaya ya kichwa. Njeri  ambaye ni wakili alikuwa…

Wizara ya afya yatazamiwa kuzindua awamu tatu za kampeni ya dharura ya chanjo ya polio.

Wizara ya afya inatazamiwa kuzindua awamu tatu za kampeni ya dharura ya chanjo ya polio katika kaunti kumi humu nchini. Wizara hiyo inalenga kuwachanja watoto milioni 7.4 katika kampeni hiyo.Awamu ya kwanza ya kampeni hiyo, inayolenga watoto wenye umri wa miaka mitano,…

Tamasha la siku nne la tamaduni za Jamii ya Maa zang’oa nanga katika Hifadhi ya Kitaifa ya Maasai Mara

BY ISAYA BURUGU 21ST AUG 2023-Tamasha la siku nne la tamaduni za Jamii ya Maa zimeng’oa nanga katika Hifadhi ya Kitaifa ya Maasai Mara katika lango la Sekenani, Kaunti hii ya Narok. Tamasha hilo linalonuia kusheherekea utamaduni wa jamii ya  maa kutoka…

Kenya Na Indonesia Kushirikiana Ili Kuimarisha Biashara.

Mataifa ya Kenya na Indonesia yatashirikiana katika sekta mbalimbali ili kuendelea kupiga jeki maendeleo na kukoleza mahusiano kati ya mataifa haya mawili. Haya yametangazwa na Rais William Ruto mapema leo katika Ikulu ya Nairobi, baada ya kumpokea Rais Joko Widodo wa Indonesia…

Rais Wiliam Ruto afanya mazungumzo na mwenzake wa Sudan Kusini Salva Kiir katika ikulu

BY ISAYA BURUGU 19TH AUG 2023-Rais William Ruto amefanya  mazungumzo na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir katika Ikulu ya Nairobihivi leo .Rais Ruto amesema Kenya imejitolea kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili na Sudan Kusini kwa manufaa ya raia wa…

MKASA:Watu sita wafariki baada ya kisima kuporomoka Kiambu

BY ISAYA BURUGU 19TH AUG 2023-Watu sita wameripotiwa kufariki dunia katika kaunti ya Kiambu baada ya kisima walichokuwa wamesimama juu yake kuporomoka.Kwa mujibu wa ripoti ya Citizen, sita hao walikuwa wanatarajia kuhudhuria hafla ya harusi ya mmoja wa rafiki zao katika eneo…

Michezo ya KECOSO yang’oa nanga katika uga wa Ole Ntimama mjini Narok.

Kaunti ya Narok ndio mwenyeji wa awamu ya 42 ya michezo ya Kenya Communications Sports (KECOSO).Michezo hiyo ambayo imeandaliwa katika uga wa Ole Ntimama imeng’oa nanga hii leo na itakamilika tarehe 26 mwezi huu wa agosti. Kulingana na katibu mkuu wa KECOSO…