EACC:Uajibikaji wa rasilimali za umma bado ni changamoto kubwa katika kaunti nchini

BY ISAYA BURUGU 18TH AUG 2023– Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC sasa inasema kuwa uajibikaji kwa rasilimali za umma bado ni changamoto kubwa kwa serikali za kaunti.Wakizungumza katika mkutano wao kaunti ya Mombasa, mwenyekiti wa tume hiyo David…

Rais Ruto ametetea balozi wa marekani Meg Whitman dhidi ya matamshi ya kinara wa Azimio Raila Odinga

BY ISAYA BURUGU,18TH AUG 2023-Rais William Ruto amemtetea balozi wa Marekani Meg Whitman baada ya kiongozi wa Azimio Raila Odinga kusema anafaa kuachana na masuala ya Kenya. Raila mnamo Alhamisi alimtaja Whitman kama balozi tapeli.Ruto hata hivyo hivi  leo  amesema  upinzani unapaswa…

Rais William Ruto ajitokeza kumtetea Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman.

Rais William Ruto amejitokeza kumtetea Balozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman baada ya kiongozi wa Upinzani Raila Odinga kumtishia kufuatia matamshi yake kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Akizungumza jijini Nairobi, Rais Ruto alimsuta Kiongozi huyo wa Azimio kwa kile alichokitaja…

Mchungaji Ezekiel Odero akata rufaa kufuatia hatua ya kufitiliwa mbali kwa usajili wa kanisa lake.

Mchungaji Ezekiel Odero amekata rufaa kufuatia hatua ya kufitiliwa mbali kwa usajili wa kanisa lake la New life international centre na msajili wa mashirika nchini. Bw.Odero anasema kuwa hatua ya Serikali kufutilia usajili wa kanisa lake ni kinyume cha sheria na inapaswa…

Raila Meg Whitman

Ukija Kenya Kaa Kimya! Raila Odinga Amsuta Balozi wa Marekani Meg Whitman.

Kinara wa Upinzani nchini Raila Odinga, ametoa amemsuta na kumlenga kwa vijembe Balozi wa Marekani nchini, Meg Whitman, kwa madai ya kuingilia masuala ya ndani ya Kenya na hasa kuonekana kuegemea upande wa serikali. Akizungumza katika siku ya tatu ya kongamano la…

Wafanyibiashara Narok wadhibitisha kupungua kwa bei ya nafaka haswa mahindi

BY ISAYA BURUGU 17TH AUG 2023-Baadhi ya wafanyibiashara wa nafaka mjini Narok wamekiri kwamba bei ya bidhaa hiyo imeshuka kwa kiwango kikubwa  kwenye  sehemu nyingi katika  kaunti hii tangu msimu wa uvunaji  kuanza.Kulingana na Elizabeth Sironka mmoja wa wauzaji wa nafaka mjini…

Seneta Jackson Mandago na watuhumiwa wengine wawili waachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki tano

 BY ISAYA BURUGU 17TH AUG 2023-Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago Uasin na watuhumiwa  wengine  wawili wameachiliwa huru kwa dhamana ya shilingi nusu milioni au bondi ya shilingi milioni mbili. Wakifika mbele ya mahakama kuu ya Nkuru leo ,hakimu mkuu…

Seneta Jackson Mandago afikishwa mahakamani kuhusiana na sakata ya mpango wa ufadhili wa Elimu wa Finland

BY ISAYA BURUGU,17TH AUG 2023-Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago amefikishwa mahakamani asubuhi ya leo  kuhusiana na Sakata ya mpango wa ulipaji karo kwa elimu ya wanafuzni maskini katika kaunti ya Uasin Gishu  Sakata ambayo imekumba kaunti hiyo kwa majuma…