Watu sita wauawa kwa kupigwa risasi eneo la Kunaso, Kaunti ya Garissa

BY ISAYA BURUGU 16TH AUG 2023-Watu sita wameuawa kwa kupigwa risasi katika kijiji cha Bula Tawakal eneo la Kunaso, Kaunti ya Garissa, kufuatia mapigano kati ya koo. Kwa mujibu wa taarifa za polisi, marehemu hao waliripotiwa kuviziwa na kuuawa na watu wasiojulikana…

Uchaguzi wa Kenya mwaka 2022 ulikuwa wa wa wazi na haki asema balozi wa marekani Meg Whitman

BY ISAYA BURUGU,16TH AUG 2023-Balozi wa Marekani humu nchini , Meg Whitman, amesema  kuwa Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022 ulikuwa uchaguzi wa kuaminika zaidi kuwahi kufanyika nchini. Akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Ugatuzi mjini Eldoret, Kaunti ya Uasin Gishu, Jumatano, Bi…

Rais William Ruto hatimaye avunja kimya kuhusu sakata ya ufadhili wa masomo kule Uasin Gishu.

Rais William Ruto hatimaye amevunja kimya kuhusu sakata ya ufadhili wa masomo ya Finland na Kanada katika kaunti ya Uasin Gishu. Rais Ruto ameahidi kuwa serikali itawasaidia wanafunzi ambao walilaghaiwa na mpango huo wa ufadhili wa masomo. Kulingana na Ruto, serikali itawachukuliwa…

Mandago

DPP Atoa Amri ya Kukamatwa kwa Seneta Mandago Kuhusu Sakata ya Fedha za Masomo ya Juu.

Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma ametoa amri ya kukamatwa kwa Seneta wa Kaunti ya Uasin Gishu, Bw. Jackson Mandago, pamoja na washukiwa wengine wawili, kufuatia madai ya kuhusika katika njama ya kuwapunja wanafunzi fedha za masomo ya juu nchini Finland na Canada.…

Taanzia:Aliyekuwa mbunge wa Budalang’i James Osogo aaga dunia

BY ISAYA BURUGU 15TH AUG 2023-Aliyekuwa Mbunge wa kwanza wa Budalang’i baada ya Kenya kujinyakulia Uhuru James Charles Nakhwanga Osogo ameaga dunia. Osogo alihudumu kama waziri na waziri msaidizi katika serikali ya hayati marais Jomo Kenyatta na Daniel Moi. Alizaliwa mwaka 1932,…

Mwannachi mmoja awasilisha ombi bungeni akitaka mtandao wa Tiktok kupigwa marufuku nchini

BY ISAYA BURUGU 15TH AUG 2023-Mwananchi  mmoja amewasilisha ombi mbele ya Bunge la Kitaifa la kupiga marufuku mtandao wa kijamii wa TikTok humu nchini .Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula ametangaza kwamba Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Bridget Connect Consultancy Bob Ndolo…

Ofisi ya Kamishna wa Kulinda Data yafichua habari mpya kuhusu sarafu ya Worldcoin.

Ofisi ya Kamishna wa Kulinda Data (ODPC) imefichua habari mpya kuhusu mradi tata wa sarafu ya Worldcoin, ikisema kuwa idadi ya Wakenya waliosajiliwa kwenye jukwaa hilo bado haijabainika. Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya mawasiliano katika bunge la kitaifa, Kamishna wa Data…

Worldcoin

Kamati ya Bunge Yatafuta Majibu Kuhusu Usalama Wa Taarifa Za Wakenya Baada Ya Usajili Wa World Coin.

Kamati ya Bunge inayoshughulikia masuala ya Mawasiliano na Teknolojia imeanzisha uchunguzi kuhusu usalama wa taarifa za wananchi waliosajiliwa na kampuni ya sarafu za kidijitali ya World Coin. Chini ya uongozi wa Mbunge wa Dagoretti Kusini, John Kiarie, kamati hiyo imemhoji Kamishna wa…