NACADA yaanzisha uchunguzi kuhusu uwezekano wa matumizi ya ventanil eneo la pwani

BY ISAYA BURUGU 8TH AUG,2023-Halmashauri ya kitaifa ya kukabili pombe na mihadarati NACADA imeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya ulanguzi wa dawa ya kulevya aina ya ventanil ambaye inaminika kuibwa kutoka kwenye vituo vya afya na  na kusambazwa kwa umma eneo la pwani.…

Mtu mmoja afariki huku wengine 18 wakijeruhiwa

BY ISAYA BURUGU 18TH AUG 2023-Mtu mmoja ambaye ni mwanafunzi ameaga dunia huku watu wengine 18 wakiachwa na majeraha baada ya kuhusika katika ajali ya bara barani eneo la Leperes kwenye bara bara kuu ya Narok-Bomet Narok. Kamanda wa polisi Narok kusini…

Inspekta Jenerali wa Polisi Japhet Koome awapandisha kighafla vyeo maafisa wawili wa polisi.

Inspekta Jenerali wa Polisi Japhet Koome hii leo aliwapandisha kighafla vyeo maafisa wawili wa polisi baada ya kukagua gwaride katika Chuo cha Mafunzo ya Polisi cha Kiganjo Kaunti ya Nyeri. Inspekta jenerali ametangaza kuwapandisha maafisa hao hadi ngazi ya Corporal kwa kigezo…

Sagana

Rais William Ruto Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri katika Ikulu ya Sagana.

Rais William Ruto ameongoza kikao cha baraza la mawaziri katika Ikulu ya Sagana leo asubuhi, huku akiwa katika hatua za mwisho za ziara yake ya siku tano katika eneo la Mlima Kenya. Kikao hicho ni cha kwanza katika serikali ya Kenya Kwanza…

Rais Ruto autaka upinzani kukatalia mbali mandamano kabla ya kuandaliwa kwa mazungumzo

BY ISAYA BURUGU,7TH AUG 2023-Ziara ya rais Wiliam Ruto eneo la kati mwa nchi imeingia siku ya tatu hivi leo.Akikutana  na wenyeji wa kaunti ya Nyeri hivi leo,rais aliandamana na viongozi wengine wakuu serikalini.rais Wiliam Ruto ameanzisha muradi wa ujenzi wa Barabara…

Makahama yakataa kusitisha utekelezwaji wa  sehemu za mswada wa bajeti  wa mwaka 2023

BY ISAYA BURUGU TH AUG 2023-Mahakama imekataa kutoa ilani ya kusitisha utekelezwaji wa  sehemu za mswada wa bajeti  wa mwaka 2023 haswa  kusitoisha makato ya walioajiriwa na wajiri ili kufadhili muradi wa serikali wa ujenzi wa nyumba . Mahakama hiyo imesema kuwa…

Mkurugenzi Mkuu wa EPRA Daniel Kiptoo aagizwa kufika mahakamani kwa kukiuka maagizo ya mahakama

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya kudhibiti Kawi na bei ya bidhaa za Petroli EPRA Daniel Kiptoo Bargoria ameagizwa kufika mahakamani Agosti 13 kwa kukiuka maagizo ya mahakama kuhusu Sheria ya Fedha ya 2023. Mahakama Kuu ilitoa wito huo Jumatatu wakati wa kutajwa…

Fedha

Vikao vya Kusikiliza Kesi ya Mswada wa Fedha wa Mwaka 2023 Vyaanza Rasmi.

Jopo la majaji watatu walioteuliwa kusikiliza na kuamua kesi inayohusu uhalali wa sheria za fedha za mwaka 2023 limeanza vikao vyake leo kwenye mahakama ya Milimani. Majaji hao, Jaji David Majanja, Jaji Christine Meoli, na Jaji Lawrence Mugambi, wanatarajiwa kufanya maandalizi muhimu…