Pope Francis amzika Pope Benedict XVI

Papa mtakatifu Francis awataka vijana kutilia maanani utunzaji wa dunia na mabadiliko ya hali ya Anga.

BY ISAYA BURUGU 3RD AUG 2023-Papa mtakatifu  Francis  amewataka vijana  kutilia maanani utunzaji wa dunia na mabadiliko ya hali ya Anga  akitaja kama kiungo muhimu  kinachohitaji kulindwa  kwa kupigana na umaskini na chagamoto zingine za kijamii. Papa Francis mwenye umri wa miaka…

Waseminari watakiwa kulinda Miito yao kwa dhati katika ulimwengu uliyojawa na vishawishi

BY ISAYA BURUGU,2ND AUG,2023-Wito umetolewa kwa waseminari  kulinda miito yao kwa dhati kwani utukufu wa mungu huangaza kwa manabii wake. Huu ndio ujumbe wa baba askofu wa jimbo katoliki la Ngong John Oballa Owaa katika hotuba yake kwa  waseminari wa jimbo hilo…

Serikali yazindua awamu ya pili ya mpango wa ruzuku ya mbolea.

Serikali imezindua awamu ya pili ya mpango wa ruzuku ya mbolea. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa awamu hiyo,Rais William Ruto alisema kuwa bei ya mbolea itapungua kutoka Ksh.3,500 hadi Ksh.2,500 kwa ghunia la kilo 50 katika awamu hii ya pili. Hata hivyo…

Muungano wa Kenya Kwanza watangaza timu itakayoshiriki mazungumzo ya kutafuta mwafaka .

Muungano wa Kenya Kwanza umezindua timu ya watu 5 watakaoshiriki mazungumzo ya kutafuta mwafaka kati ya serikali na upinzani. Kiongozi wa Wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung’wah ataongoza timu hiyo, ambayo pia itajumuisha Kiongozi wa Wengi katika bunge la Seneti Araon…

Serikali Yapiga Marufuku Usajili wa Wakenya Katika Sarafu ya Kidijitali ya World Coin.

Serikali imepiga marufuku na kusitisha shughuli za usajili wa wakenya katika sarafu mpya ya kidijitali ya World Coin. Hatua hii imetangazwa na Waziri wa Usalama wa Ndani nchini, Kithure Kindiki, katika chapisho lake la asubuhi ya leo. Uamuzi wa kusitisha usajili huo…

Rais William Ruto asisitiza kuwa hakutakuwa na kesi za ufisadi katika serikali yake.

Rais William Ruto amesisitiza kuwa hakutakuwa na kesi za ufisadi katika serikali yake huku akipanga kutekeleza ahadi alizotoa kwa Wakenya. Akizungumza wakati wa shuguli ya mawaziri kutia saini kandarasi za utendakazi katika Ikulu hii leo, Rais Ruto alisema kuwa viongozi kwa muda…

bARAZA

Rais Ruto Ashuhudia Mawaziri Wakitia Sahihi Kwenye Mikataba ya Utendakazi.

Kiongozi wa Taifa, Rais William Ruto, ameongoza hafla muhimu ya kusaini mikataba ya utendakazi kati ya mawaziri wake katika ikulu ya Nairobi. Mikataba hiyo imeazimiwa kutoa mwongozo kwa mawaziri juu ya majukumu yao katika wizara zao, ili kufanikisha ajenda ya maendeleo ya…

Mahakama ya Rufaa yaondoa kwa muda amri inayozuia utekelezaji wa Sheria ya Fedha ya 2023.

Mahakama ya Rufaa imeondoa amri za wahafidhina zinazozuia utekelezaji wa Sheria ya Fedha ya 2023 yenye utata. Katika kile kitakachokuwa ushindi mkubwa kwa Rais Ruto, mahakama ya rufaa ilisema kuwa serikali, iliyokata rufaa ya kusimamishwa kazi kupitia kwa Waziri wa Fedha Njuguna…