Rais mstaafu Uhuru Kenyatta aungana na viongozi wa Azimio la umoja kwenye sala kuwaombea familia wa waliouawa katika mandamano

BY ISAYA BURUGU 28TH JULY,2023-Rais mstaafu Uhuru Kenyatta hivi leo ameungana na  viongozi wa Azimio la Umoja kwa ibaada maalum kuwaombea familia za watu waliouawa kwenye mandamano yaliyondaliwa  maajuzi kupinga gharama ya juu ya Kimaisha.Hafla hiyo inaandaliwa katika mtaa wa mtaa wa…

ecitizen

Waziri Eliud Owalo Adhibitisha Jaribio la Udukuzi Kwenye Mtandao wa E-Citizen.

Wizara ya teknolojia na mawasiliano nchini imedhibitisha taarifa kuwa wadukuzi walijaribu kupenyeza ndani ya Tovuti ya E-Citizen inayotumika katika utoaji wa huduma za serikali. Kwa mujibu wa Taarifa iliyochapishwa alasiri ya leo na waziri wa mawasiliano nchini Eliud Owalo, wadukuzi walijaribu kupenyeza…

Seneti

Maseneta Wawashtumu Mawaziri 3 Kwa Kutokuhudhuria Vikao vya Bunge La Seneti.

Maseneta nchini wameshtumu mawaziri watatu, akiwemo Waziri wa Mahusiano ya Nje, Alfred Mutua, Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha, na Waziri wa Leba, Florence Bore, baada yao kukataa kujiwasilisha katika vikao vya bunge hilo. Lengo la kujiwasilisha kwao lilikuwa ni kutoa taarifa na…

Odinga Ushuru Tax

Kinara wa Azimio Raila Odinga azuru hospitali ya Kenyatta kuwatembelea majeruhi wa maandamano..

Kinara wa Azimio Raila Odinga hii leo amezuru hospitali ya Kenyatta kuwatembelea majeruhi waliolazwa katika hopsitali hiyo kutokana na mashambulizi katika mandamano yaliyopita. Zaidi ya watu 20 wamelezwa katika hospitali hiyo sawa na hospitali zingine jijini Nairobi. Odinga amelaani kile alichokitaja kama…

Viongozi wa bara Afrika watakiwa kuwekeza katika miradi inayowashuhughulikia vijana

BY ISAYA BURUGU 26TH JULY 2023- Rais Wiliam Ruto yupo nchini Tanzania kuhudhuria mkutano wa kimataiafa wa rasilimali watu.Kwenye hotuba yake ya ufunguzi,rais wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amelezea umuhimuwa kuwekeza haswa kwenye vijana anaosema wana uwezo mkubwa wa kuinua mstakabali wa…

Wafuasi wa Azimio la umoja kote nchini wandaa hafla za kuwakumbuka waliouwa katika mandamano

BY SAIAYA BURUGU 26TH JULY 2023-Ibaada  maalum inaandaliwa hivi leo katika kanisa katoliki la Christ the king  mjini Nakuru kuwakumbuka waadhiriwa wa mauaji  katika mandamano ya wiki iliyopita Nakuru magharibi. Muungano wa Azimio ulisitisha maandamano ya leo huku Wafuasi wa Azimio wakitakiwa…

MAZUNGUMZO

Raila asema Rais Ruto alikataa mazungumzo yaliyopangwa kuongozwa na rais wa Tanzania

Kinara wa Upinzani nchini Raila Odinga, sasa anasema kwamba viongozi kutoka upande wa serikali wamekataa kujihuisha katika aina yoyote ya mazungmo na upinzani ili kutafuta suluhu kuhusu mgogoro uliopo kati ya pande hizi mbili. Odinga aliyezungumza mapema leo, amefichua kuwa Rais wa…

Wakaazi wa Tana delta walalamikia uhaba wa maji

BY NEWSDESK,25TH JULY,2023-Wakaazi wa eneo la kona katika kaunti ndogo ya Tana delta wanaishi kwa hofu baada ya kupoteza mifugo wa tuhuma za maji ya sumu katika bwawa la kipekee la maji eneo hilo.Wanadai kuwa wamepoteza Zaidi ya ngombe mia tatu katika…