Amani na utulivu waendelea kushudiwa nchini siku moja baada ya Azimio kutangaza kufutilia mbali mandamano

BY ISAYA BURUGU 25TH JULY,2023-Hali ya utulivu inaendelea kushuhudiwa kote nchini baada ya Mungano wa Azimio la umoja kutangaza kufutilia mbali  mandamano yaliyokuwa yamepangwa hiyo kesho jumatano. Hatua hiyo ya kuirishwa kwa mandamano hayo imepongezwa na wakenya watabaka mbali mbali. Shughuli za…

Mshukiwa Mkuu Katika Kesi ya Mtoto Junior Sagini Ahukumiwa Miaka 40 Gerezani.

Katika uamuzi uliotolewa mapema leo na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Kisii, Bi. Christine Ogweno, mshukiwa mkuu katika kisa cha unyama kilichoelekezwa kwa Mtoto Junior Sagini mwishoni mwa mwaka jana amehukumiwa kifungo cha miaka 40 gerezani. Kisa hiki kilichotokea katika Kijiji…

Wanafunzi wa ya wavulana ya Kilgoris eneo la Trans mara magharibi wadaiwa kuteketeza bweni la shule

BY ISAYA BURUGU 24TH JULY,2024-Wanafunzi wa shule ya upili ya wavulana ya Kilgoris eneo la Trans mara magharibi kule Narok wanadaiwa kuteketeza bweni la shule lenye uwezo wa kuhifadhi wanafunzi wapatao 70 mwendo wa saa moja leo asubuhi.Mwalimu mkuu wa shule hiyo…

Washukiwa watatu waliomnyofoa macho mtoto sagini kufahamu hatma yao hukumu ikitolewa leo

BY ISAYA BURUGU 24TH JULY 2023-Macho yote hivi leo yanaelekezwa katika mahakama kuu ya Kisii huku mahakama hiyo ikitarajiwa kutoa hukumu kuhusu kesi ambapo mtoto wa miaka mitatu alingolewa macho. Watu watatu wakuu akiwemo pacifica nyakerario na Maina Ochogo waliopatikana na hatia…

Wote

Papa Francis Atangaza Kuundwa kwa Jimbo la Wote, Kaunti ya Makueni.

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ametangaza kuanzishwa kwa jimbo jipya katika eneo la Wote, kaunti ya Makueni. Hatua hii ya kihistoria inalenga kuimarisha huduma za kiroho na kuwahudumia waumini katika eneo hilo kwa njia bora zaidi. Tangazo hilo limetolewa na…

Rais William Ruto kwa mara nyingine ausuta Azimio kwa kuandaa maandamano ya kupinga serikali.

Rais William Ruto ameusuta muungano wa Azimio unaoongozwa na Raila Odinga kwa kuandaa msururu wa maandamano nchini kote ili kupinga Sheria ya Fedha ya 2023 na gharama ya juu ya maisha. Akizungumza katika kaunti ya vihiga, Rais Ruto amesema Wakenya tayari walimpigia…

Askofu Paul Kariuki Njiru wa Jimbo la Embu ateuliwa kama askofu mpya wa Jimbo la Wote.

Papa Francis amemteua askofu Paul Kariuki Njiru wa Jimbo Katoliki la Embu kama askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Wote. Baba Mtakatifu, Papa Francisko ameanzisha Jimbo jipya la Wote, na kulitenganisha na Jimbo kuu la Machakos. Habari za kuanzishwa kwa jimbo la…

Utawala kushughulikia tatizo la maji Tana River

BY ISAYA BURUGU 22ND JULY,2023-Idara ya maji katika kaunti ya Tana River kwa ushirikiana na kampuni moja ya kibinafasi inapanga kuweka mitambo ya kusafisha maji katika sehemu ambazo gavana wa kaunti hiyo anataka wenyeji wahamie na pia katika hospitali za eneo hilo.…