Mlinzi wa Odinga Maurice Ogeta hatimaye aachiliwa huru

 BY ISAYA BURUGU 22ND JULY,2023-Mlinzi wa kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga, Maurice Ogeta sasa ni mtu huru. Mkurugenzi wa mawasiliano katika chama cha ODM Philip Etale alithibitisha katika taarifa kwamba Ogeta aliachiliwa kutoka mikononi mwa polisi mwendo wa…

babu-owino-

Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino Aachiwa Huru na Mahakama.

Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ameachiliwa huru na mahakama kwa dhamana ya pesa taslimu ya shilingi laki moja au bondi ya shilingi laki mbili. Hii ni baada ya kufikishwa mahakamani kwa kesi inayomhusisha na kuongoza maandamano ya upinzani ambayo yalianza siku…

Babu Owino Maandamano

Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino Awasilishwa Mahakamani.

Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amefikishwa mahakamani alasiri ya Alhamisi baada ya kuzuiliwa kwa muda wa yapata saa 48 na maafisa wa polisi. Mbunge huyo alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Jumanne usiku na kushtakiwa kwa…

Mahakama ya Rufaa yakataa kuondoa agizo la kusimamisha Sheria ya Fedha ya 2023.

Mahakama ya Rufaa imekataa kuondoa agizo la Mahakama Kuu la kusimamisha Sheria ya Fedha ya 2023. Mahakama hiyo iliagiza wahusika kufika kutoa uamuzi Julai 28, ambapo mahakama itaamua iwapo maagizo ya utekelezaji wa Sheria hiyo yataondolewa, kama alivyotaka Waziri wa Hazina ya…

Usalama waimarishwa maeneo mbali mbali nchini huku mandamano ya upinzani yakiingia siku ya pili leo.

BY ISAYA BURUGU 20TH JULY,2023-Usalama umeimarishwa katika sehemu mbali mbali na miji humu nchini huku mandamano yaliyoitishwa na upinzani kupinga gharama ya juu yakimaisha yakiingia siku ya pili hivi leo.Katika jiji la Nairobi,shughuli chache mno zinaonekana kuendelea huku pia kukiwa na magari…

Shirika la haki Afrika la kashfu matumizi ya nguvu kupita kiasi na polisi dhidi ya wandamanaji

BY ISAYA BURUGU 20TH JULY 2023-Shirika la kutetea haki za kibinadamu nchini la Haki Africa limewataka viongozi walioko serikalini na wale wa upinzani kuketi katika meza ya mazungumzo ili kufikisha kikomo mandamano yanayo shuhudiwa nchini. Mkurugenzi mkuu wa shirika hilo  Hussein Khalid…

Viongozi wa upinzani watakiwa kumpa rais muda kutekeleza ahadi alizowapa wakenya.

Katibu mkuu wa  chama cha UDA Cleophas Malala amewataka viongozi wa upinzani kumpa rais Wiliam Ruto muda kutekeleza ahadi alizowapa wakenya wakati wa kampeni. Akizungumza mjini Kakamega hivi leo,Malala amesema uongozi wa Kenya Kwanza umekuwa mammlakani kwa muda mfupi ambao hauwezi baini…

Maaskofu katoliki nchini warejelea wito wao kumtaka rais Ruto na kinara wa Azimio Raila Odinga kujadiliana

BY ISAYA BURUGU 19TH JULY 2023-Maaskofu wa kanisa katoliki nchini wamerejelea wito wao kwa rais Wiliam Ruto na kinara wa Azimio la umoja Raila Odinga kufanya mazungumzo ili kusuluhisha utata ulioko nchini kwa sasa. Wakizungumza na wandishi Habari mtaani Karen ,maaskofu hao…