Usalama wadumishwa katika sehemu mbali mbali za nchi mandamano ya upinzani yakirejelewa

BY ISAYA BURUGU 19TH JULY 2023-Usalama umeimarishwa katikati mwa jiji la Nairobi na maeneo yaliyo karibu huku mandamano yaliyoitishwa na mungano wa Azimio  kupinga gharama ya juu ya kimaisha yakirejelewa leo.Maafisa wa polisi wa kuzima ghasia wameonekana wakilinda doria katika Barabara nyingi…

EACC Yaonya Kuhusu Walaghai Wanaopeana Vyeti Ghushi vya Kuidhinisha Uadilifu.

            Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini (EACC) imewataka wakenya kuwa macho, ili kujiepusha na matapeli wanaohadaa watu kwa kuwapa vyeti ghushi vya kuidhinisha uadilifu wao almaarufu Clearance Certificate. Katika chapisho kwenye mitandano yao EACC…

Mabalozi na Makamishna Wakuu nchini waelezea wasiwasi wao kuhusu maandamano ya Kesho.

Mabalozi na Makamishna Wakuu nchini Kenya wameelezea wasiwasi wao kuhusu ghasia na uharibifu wa mali ulioshuhudiwa wakati wa maandamano ya hivi majuzi dhidi ya serikali yaliyoitishwa na upinzani. Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa Jumanne, wajumbe wa nchi 13 zikiwemo Australia, Canada, Denmark,…

Muungano wa Azimio watoa wito kwa Wakenya kujiunga na vuguvugu la ‘sufuria movement’ kuanzia kesho.

Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umetoa wito kwa Wakenya kujiunga na vuguvugu la ‘sufuria movement’ kuanzia kesho ambapo maandamano ya kupinga serikali yatafanyika kwa siku tatu mfululizo. Akizungumza katika ofisi za Wakfu wa Jaramogi Oginga Odinga siku ya Jumanne, kiongozi…

Tume ya huduma za mahakama yamteua Athman Abdulhalim Hussein kama kadhi mkuu nchini

BY ISAYA BURUGU,18TH JULY,2023-Tume ya huduma za mahakama imemteua Athman Abdulhalim Hussein kama chifu kadhi mkuu nchini.Hussein  ambaye ni kadhi zamani wa eneo la Nairobi atakuwa anachukua mahalama pa Ahmed Muhdha. Uteuzi wake ulijiri baada ya tume hiyo kuendesha mahojiano ya wagombea…

Mbunge Agnes Pareyio awataka wakaazi wa eneo bunge lake kujiepusha na Mandamano

BY ISAYA BURUGU,18TH JULY,2023-Huku mungano wa Azimio ukitarajiwa kurejelea mandamano yake kesho kuishinikiza serikali kushughulikia gharama ya juu ya kimaisha nchini,Wakazi wa Narok kaskazini wametakiwa kutoshiriki  mandamano  hayo. Mbunge wa Narok kaskazini Agness Pareyio amewataka wafuasi wa mrengo huo wasalie  manyumbani ili…

Narok Muziki

Furaha ya Wafanyabiashara Mjini Narok kufuatia Tamasha za Muziki.

Wafanyabiashara mjini Narok wameeleza furaha yao kutokana na faida kubwa katika biashara zao kwenye tamasha za muziki za shule za Msingi na Upili. Makala ya 95 ya tamasha za ukanda wa bonde la Ufa zinaendelea katika Chuo Kikuu cha Maasai Mara mjini…

Mpango wa kufanya maandamano kuanzia Jumatano hadi Ijumaa ungali unaendelea.

Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umesisitiza kuwa mpango wa kufanya maandamano dhidi ya serikali kuanzia Jumatano hadi Ijumaa ungali unaendelea licha ya onyo kali kutoka kwa serikali. Akiongea katika afisi za Wakfu wa Jaramogi Oginga Odinga (JOOF) Kiongozi wa Wachache…