Mary Wanyonyi aapishwa rasmi kama mwenyekiti wa tume ya CRA

BY ISAYA BURUGU 17TH JULY 2023-Mary Wanyonyi ameapisha rasmi kama mwenyekiti mpya wa tume ya ugavi wa mapato nchini. Jaji mkuu Martha Koome ameongoza hafla ya kuapishwa kwa Bi Wanyonyi anayekuwa mwenyekiti wa tatu wa tume hiyo. Anachukua wadhifa huo kutoka kwa…

Askofu Gilbert Deya aachiliwa huru na mahakama katika kesi ya wizi wa watoto

BY ISAYA BURUGU 17TH JULY 2023-Askofu  Gilbert Deya sasa yuko huru baada ya mahakama kuu jijini Nairobi kumwachilia kutokana na makosa yote Matano yanayohusiana na wizi wawatoto yaliyokuwa yakimkabili. Mahakama imetoa uamuzi kuwa upande wa mashtaka ulikosa kuwasilisha ushidi wakutosha kudhibitisha kesi…

Kindiki

Mkishiriki katika Maandamano ya Vurugu Mtaona cha Mtema Kuni- Waziri Kindiki aonya upinzani.

Waziri wa Usalama wa Ndani, Prof. Kithure Kindiki, amelaani vikali ghasia zilizotokea katika eneo la Sondu, kwenye mpaka wa kaunti za Kericho na Kisumu, siku ya Jumatano. Waziri Kindiki ameeleza kusikitishwa kwake na vifo vilivyotokea na idadi kubwa ya majeruhi waliopatwa katika…

Raila Odinga aishutumu serikali kwa kutoa kile anachodai kuwa kikosi cha wauaji haramu.

Kinara wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga sasa ameishutumu serikali kwa kutoa kile anachodai kuwa kikosi cha wauaji haramu. Odinga, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari siku ya Jumamosi, alidai kuwa utawala wa sasa unatumia kitengo cha…

Waziri Kindiki asema ni mazungumzo na kuheshu sheria ndio njia ya kipekee kutatua mizozo

BY ISAYA BURUGU 15TH JULY,2023-Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki  amesema tofauti zote za kisiasa,kiuchumi,kijamii n ahata kidini zinaweza tu suluhishwa iwapo wahusika wote watatumia njia ya sheria.Ghasia na uvunjaji sheria haviwezi kuleta suluhu. Akizungumza huko Sondu katika mpaka wa kaunti…

EPRA yatangaa bei mpya za bidhaa ya petroli

BY ISAYA BURUGU,15TH JULY,2023-Mamlaka ya kudhibiti bei za kawi nchini EPRA imetangaza bei mpya za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta taa wiki mbili baada ya bei za awali.Katika tangazo ambalo limetolewa jana jioni, bei ya petroli imepungua kwa shilingi…

Rais Ruto Asema Hataruhusu Maandamano ya Upinzani Juma Lijalo.

Rais William Ruto ametoa ahadi kuwa hakutakuwa na maandamano ya upinzani nchini juma lijalo. Ahadi hiyo ilitolewa na Rais alipokuwa akizungumza katika eneo la Nakuru baada ya kuzindua barabara ya Njambini kuelekea Naivasha. Rais Ruto alisisitiza kwamba hatavumilia kuandaliwa kwa maandamano siku…

Waziri wa usalama Kithure kindiki afanya mkutano na viongozi wa kaunti ya Narok.

Waziri wa usalama wa ndani Kithure kindiki hii leo amefanya mkutano wa faraga na viongozi wa kaunti ya Narok ili kutathmni hali ilivyo katika mpaka Nkararu na Enooretet eneobunge la Trasmara magharibi. Kufikia sasa watu 47 wametiwa mbaroni kuhusiana na machafuko ambayo…