Mauji tatanishi:Polisi waanzisha uchunguzi wafanyibiashara wawili wakiuawa Narok

BY ISAYA BURUGU 12TH JULY 2023-Maafisa wa Polisi wameanzisha  uchuguzi kufuatia kuawa kwa  kina mama wawili eneo la Ntulele Narok mashariki  ambao ni wafanyibiashara .Miili ya wawili hao inaripotiwa  kutupwa katika shamba la Kedong Narok mashariki. Kamanda wa polisi kaunti ya Narok…

Shughuli za kawaida zatatizika katika sehemu mbali mbali nchini wakenya wakikaidi agizo la polisi kutoshiriki Mandamano

BY ISAYA BURUGU 12TH JULY 2023-Shughuli za kawaida zimetatizika pakubwa haswa katika Barabara nyingi nchini huku magari machache yakionekana katikati mwa jiji la Nairobi leo asubuhi kufuatia taharuki iliyochangiwa na maandamano yaliyoitishwa na muungano wa Azimio La Umoja-One Kenya na mgomo wa…

Kenya na  Iran zatia Saini aina tano za makubaliano ya kufanya kazi Pamoja katika Nyanja mbali mbali

BY ISAYA BURUGU 12TH JULY 2023-Kenya na  Iran zimetia Saini aina tano za makubaliano ya kufanya kazi Pamoja katika Nyanja mbali mbali.Makubaliano hayo ni kuhusu Habari na mawasiliano,teknologia,uvuvi,uzalishaji mifugo,saw ana uwekezaji  kama nia moja ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya nchi…

Raila Odinga asema kufikia sasa wamefanikiwa kukusanya sahihi milioni 1.2.

Kinara wa upinzani Raila Odinga amesema kufikia sasa wamefanikiwa kukusanya sahihi milioni 1.2 katika juhudi za kumbandua rais William Ruto mamlakani. Alizungumza jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa jukwaa la kukusanya sahihi za kidijitali ili kufanikisha mpango huo. Odinga alisema mfumo wa…

Viongozi wakidini waitaka serikali kukumbatia mazungumzo kama njia moja ya kuleta amani nchini

BY ISAYA BURUGU 11TH JULY,2023-Baadhi ya viongozi wa kidini katika kaunti ya Kisumu wameitaka serikali kuitisha mazungumzo yatayoleta amani nchini ili kuzuia mkwamo wa kisiasa na mzozo unaoshuhudiwa nchini.Viongozi hao wakizungumza na wandishi Habari hivi leo wamesema serikali inapaswa kuchukulia kw auzito…

KINDIKI KITHURE - Radio Osotua

Uchunguzi wa mauaji ya Shakahola:Waziri Kindiki asema hatimaye kila mhusika atapatana na mkono wa sheria

 BY ISAYA BURUGU 11TH JULY, 2023-Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ametoa hakikisho kuwa hatimaye kila mtu aliyechangia kufanikisha mauji hayo atachukuliwa hatua za kisheria. Waziri  amesema hayo alipofika mbele ya kamati ya seneti inayochunguza mauji ya Shakahola iliyotaka kufahamu ni…

IGAD Sudan

Rais Ruto azitaka pande zinazohasamiana Sudan kusitisha Vita bila Masharti.

Rais William Ruto ameendelea kutoa wito wa kusitisha mapigano kati ya pande mbili hasimu katika taifa la Sudan. Akihutubia katika mkutano wa mataifa manne ya muungano wa IGAD uliofanyika mjini Addis Ababa, Ruto alisisitiza umuhimu wa jeshi la Sudan na Kundi la…

Waziri Kithure Kindiki awaonya wanaopanga kufanya maandamano siku ya Jumatano.

Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki amewaonya wanaopanga kufanya maandamano siku ya Jumatano kwamba watakabiliwa kisheria. Kindiki alisema vyombo vya usalama vimeagizwa kutekeleza sheria kwa uthabiti katika kukabiliana na wale wanaotishia kufanya nchi isitawalike kwa ghasia na uporaji. Waziri wa Mambo…