Jenerali Charles Muriu Kahariri ameapishwa na kusimikwa rasmi kama mkuu wa majeshi nchini Kenya asubuhi ya leo, baada ya uteuzi wake siku ya Alhamisi. Hafla hiyo muhimu ilifanyika katika Ikulu ya Nairobi, ambapo Kiongozi wa Taifa, Rais William Ruto, alimsimika Jenerali Kahariri…
Wakenya wanaoishi katika maeneo yanayokabiliwa na hatari ya kushuhudia mafuriko au maporomoko ya arthi wameagizwa kuhama kutoka maeneo yao. Hatua hii inachukuliwa kwa lengo la kuzuia hasara za mali na kuokoa maisha ya wananchi. Katika taarifa ya Wizara ya Usalama wa Ndani,…
Watu 42 wamethibitishwa kufariki baada ya mafuriko makubwa kusomba nyumba kadhaa katika Kijiji cha Kamuchiri Mai Mahiu, Kaunti ya Nakuru kufuatia mvua kubwa iliyonyesha. Kulingana na OCPD wa Naivasha Stephen Kirui, watoto 17 ni miongoni mwa waliofariki.Kuna hofu kuwa huenda idadi hii…
Wanachama wa chama cha UDA katika kaunti ya Narok wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi wa wawakilishi mbalimbali wa chama hicho mashinani. Uchaguzi huo wa mashinani unatarajiwa kufanyika katika vituo mbalimbali kati ya saa tatu asubuhi na saa tisa alasiri. Kivutio kikuu cha uchaguzi…
Watu wanne wa familia moja katika kijiji cha Olopilukunya, eneo la Naikarra katika kaunti ndogo ya Narok magharibi, wanauguza majeraha mabaya baada ya kuvamiwa na fisi usiku wa kuamkia leo. Jackson Masago, ambaye ni mmoja wa jamaa wa familia hiyo, ameeleza kuwa…
Shughuli ya kuiopoa miili ya wanafunzi wawili wa chuo kikuu cha Maasai Mara inaendelea katika mto wa Enkare Narok. Akiongoza Shughuli hiyo ya uopozi, kamishana wa kaunti ya Narok Rueben Lotiatia amesema wawili hao walikuwa wakiuvuka mto huo ambapo mmoja wao aliteleza…
Watu sita wameaga dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea eneo la Silanga kwenye barabara kuu ya Narok kuelekea Mulot. Ajali hiyo imetokea saa tatu usiku siku ya Jumapili na imehusisha magari mawili, gari aina ya Toyota…
Aliyekuwa Mkuu wa majeshi humu nchini Marehemu Jenerali Francis Ogolla, ambaye alifariki katika ajali ya ndege katika kaunti ya Elgeiyo Marakwet, atazikwa Jumapili ya tarehe 21 mwezi wa Aprili nyumbani kwake katika eneo la Alego Usonga, Kaunti ya Siaya. Kulingana na taarifa…