TSC yapania kuajiri walimu zaidi ya laki moja katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Tume ya kuwaajiri Walimu TSC inatazamiwa kuajiri walimu zaidi ya laki moja katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Afisa mkuu mtendaji wa TSC Nancy Macharia amesema serikali itaajiri walimu ili kupunguza uhaba wa walimu wa kitaifa katika taasisi zote za kimsingi. Macharia…

Mkasa ziwa Victoria mashua ikizama,watu watano watoweka

BY ISAYA BURUGU 6TH   JULY,2023-Shughuli ya uokoaji inaendelea katika Ziwa Victoria baada ya mashua iliyokuwa imebeba watu 11 na mizigo kuzama katika ziwani humo . Taarifa kutoka kwa  polisi zimedokeza kuwa mashua hiyo pia ilikuwa imebeba magunia 100 ya makaa, magunia 40…

Hisia mseto zazidi kutolewa kuhusiana na tangazo la rais kuhusu ukataji miti

BY ISAYA BURUGU 6TH JULY,2023-Tangazo la rais Wiliam Ruto kuondoa marufuku iliyyowekwa dhidi ya ukataji miti  alilotoa wiki moja iliyopita inazidi kuibua hisia mesto kutoka wa watetezi mbali mbali wa mazingira na wannachi. Wa hivi punde Zaidi  ni watetezi wa mazingira kutoka…

Ruto-Comoros Congo

Rais Ruto Aondoka Nchini Kwa Ziara Ya Siku Tatu Comoros na Congo.

Kiongozi wa Taifa, Rais William Ruto, anaondoka nchini leo kwa ziara ya siku tatu katika mataifa ya Comoros na Jamhuri ya Congo. Ziara hii inalenga kuimarisha uhusiano wa Kenya na nchi hizi mbili na kukuza ushirikiano katika masuala ya kiuchumi na kisiasa.…

Tume ya kuwaajiri Walimu nchini TSC yatangaza nafasi za kazi 18,000.

Tume ya kuwaajiri Walimu nchini TSC imetangaza nafasi za kazi 18,000 kwa tarajali yaani interns katika Shule za Sekondari msingi na nyingine 2,000 katika Shule za Msingi za Umma ili kusaidia utekelezaji wa Mtaala wa CBC. Katika waraka, tume hiyo inasema walimu…

Serikali yaahirisha mpango wa kufungua tena vituo vya mpaka kati ya Kenya na Somalia.

Serikali ya Kenya imeahirisha mpango wa kufungua tena vituo vya mpaka kati ya Kenya na Somalia. Akizungumza alipokutana na viongozi wa usalama katika kaunti ya Garissa, waziri wa usalama wa ndani na mipango ya kitaifa Kithure Kindiki alisisitiza kuwa kucheleweshwa huko ni…

Mahakama kuu mjini Kilgoris yateketeza Bangi ya dhamani ya shilingi milioni 3.9

BY ISAYA BURUGU 5TH JULY,2023-Mahakama kuu eneo la Kilgories Trasmara magharibi imechoma  zaidi ya gramu 390 ya bangi yenye thamana ya shilingi milioni 3.9 . Akithibitisha kisa hicho msimamizi wa mahakama hiyo Paul Ochieng amesema tayari mshukiwa mkuu ametiwa mbaroni na amehukumiwa…

Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod MBai atiwa mbaroni kwa kumshambulia mfanyikazi wa KPLC

BY ISAYA BURUGU 5TH JULY 2023-Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai ametiwa mbaroni kwa kumshambulia afisa wa Kenya Power ambaye alimkatia umeme wake.Anatazamiwa kufikishwa mahakamani kwa kushambulia Kajiado. Hapo awali, kundi la wafanyikazi wa Kenya Power walikuwa wamefanya maandamano katika mji wa…