Nauli Ya Usafiri Wa Umma kuongezeka Kwa Asilimia 30% Kuanzia Jumatano.

Wasafiri kutoka pembe tofauti za taifa watalazimika kugharamika hata zaidi katika usafiri wao kuanzia kesho, kwani nauli ya usafiri kuelekea maeneo mbalimbali ya taifa inatarajiwa kuongezeka kwa asilimia 30. Hatua hii imefuatia agizo la mwenyekiti wa Wamiliki wa Matatu nchini, Bwana Albert…

Maandamano Bado Yapo, Raila Odinga Awataka Wafuasi Kujitokeza Ijumaa.

Kinara wa upinzani Raila Odinga amesisitiza kwamba shughuli za uasi zitaendelea kote nchini kuanzia siku ya Ijumaa wiki hii, kama njia mojawapo ya kupinga uongozi wa serikali. Odinga alitoa taarifa hiyo kwa umma leo alasiri na kueleza kuwa muungano huo unaendeleza shughuli…

Serikali kutumia angalau Ksh.20B ili kuwawezesha maafisa wa usalama kupambana na ugaidi.

Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki hii leo amezuru kaunti za Mandera na Wajir ambapo amekutana na maafisa wakuu wa usalama katika kaunti hizo pamoja na Viongozi wa Jamii na wa kidini. Kindiki amesema ushirikiano kati ya viongozi wa kidini na…

Serikali inalenga kupunguza gharama yakufadhili matumizi ya kila siku serikalini na kueleza rasilimali zaidi katika miradi ya maendeleo-Rais Ruto

BY ISAYA BURUGU 4TH JULY,2023- Serikali iko macho kuwianisha matumizi yakifedha kuelekezwa katika miradi ya kimaendeleo na kufadhili shughuli za kila siku za serikali.Rais Wiliam Ruto amesem akuwa serikali inatumia fedha nyingi katika matumizi ya kila siku  kupita inavyohitajika.Amesema asilimia 46 ya…

Pande mbili zazozania uongizi wa hifadhi ya Mara Ripoi

BY ISASYA BURUGU,4TH JULY,2023-Polisi walilazimika kufyatua vitoa machozi  kuyatenganisha makundi mawili hasimu katika mkutano wa kwanza wa kila mwaka wa kundi jipya la hifadhi ya mbuga ya Mara Ripoi ,wadi ya Siana Narok Magharibi kufuatia mzozo wa uongozi.Vurumai ilianza baada ya mwanachama…

Azimio

Viongozi wa Azimio waahidi kuwabandua waliounga mkono mswada wa Fedha.

Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja katika kaunti ya Trans Nzoia wameahidi kuanzisha mchakato wa kukusanya saini kutoka kwa wananchi, ili kuwabandua wabunge waliounga mkono mswada wa fedha wa mwaka 2023. Wakiongozwa na Eugine Wamalwa na mbunge wa Saboti Caleb Amisi,…

Ombi lawasilishwa mahakamani kuwazuia watu wanne kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri.

Ombi limewasilishwa mahakamani la kutaka kuwazuia Cleophas Malala, David Ndii, Monica Juma na Harriette Chiggai kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri. Mlalamishi, Charles Mugabe anasema kuwa uamuzi wa kuwaruhusu wanne hao kuhudhuria mikutano ya baraza la mawaziri ni kinyume cha katiba. Aidha…

Mahakama kuu yaamua kuwa uteuzi wa makatibu wakuu ni kinyume cha katiba.

Mahakama kuu imeamua kuwa uteuzi wa makatibu wakuu ni kinyume cha katiba. Akitoa uamuzi huo, jaji Hedwig Ongundi amesema kuwa haikuwa nia ya waundaji wa Katiba kuwa makatibu wakuu 50 kama wasaidizi wa mawaziri 22. Ameongeza kuwa tume ya kuwaajiri wafanyakazi wa…