Wezi wavunja na kuiba vifaa mbali mbali katika bunge la kaunti ya Kisumu

BY ISAYA BURUGU,3RD JULY,2023-Maafisa wa polisi  mjini  Kisumu wameanzisha uchunguzi kuhusu kisa ambapo wezi wanaripotiwa kuvamia   jengo la bunge la kaunti hiyo na kuiba mali ya dhamani ya fedha isiyojulikana. Katika kisa hicho cha usiku wa kuamkia leo,washukiwa hao waliba runinga zinazotumia…

Macho yote yaelekezewa mahakama kuu huku uamuzi kuhusu uteuzi wa makatibu wakuu wasimamizi 50 ukitolewa

BY ISAYA BURUGU 3RD JULY,2023-Macho yote hivi leo yanaelekezewa  mahakama kuu wakati mahakama hiyo ikitarajiwa kutoa uamuzi kuhusu kesi ya kupinga kuchaguliwa kwa makatibu wakuu wasimamzi 50. Chama cha wanasheria nchini LSK na shirika la katiba institute ilikwenda mahakamani kuzuia mchakato huo…

Tume ya SRC yatetea hatua yake ya kupendekeza nyongeza ya mishahara.

Tume ya kuratibu Mishahara na Marupurupu ya wafanyakazi wa umma SRC imetetea hatua yake ya kupendekeza nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa Serikali na umma kuanzia Julai 1 huku Wakenya wengine wakikabiliana na gharama ya juu ya maisha. Wakati wa mkutano na…

Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali katika makutano ya Londiani yafikia 52.

Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali mbaya iliyotokea Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali Ijumaa jioni imeongezeka na kufikia 52 huku watu 32 wakilazwa hospitalini. Ajali hiyo ya saa kumi na mbili unusu jioni ilitokea baada ya lori kupoteza mwelekeo na kuwagonga…

Washukiwa wanne wa wizi wa Ng’ombe watiwa mbaroni Narok,Ng’ombe saa wakipatikana

BY ISAYA BURUGU 1ST JULY,2023-Washukiwa wanne wa wizi wa ng’ombe wamekamatwa alfajiri ya leo mjini Narok wakisafirisha ngombe  saba wanaokisiwa kuibwa kutoka eneo la Narok kusini. Akithibitisha kisa hicho kamanda wa polisi Narok ya kati John Momanyi amesema polisi waliwapata wanne hao…

Watu kumi wajeruhiwa vibaya katika ajali kwenye barabara kuu ya Bomet kuelekea Narok

BY ISAYA BURUGU 1ST JULY,2023-Watu kumi wamepata majeraha mabaya kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea eneo la kiokong Barabara kuu ya Bomet kuelekea Narok mwendo was aa kumi usiku wa kuamkia leo. Majeruhi wamelazwa katika hospitali ya tenueki mjini Bomet wakiendelea kupokea matibabu.Naibu…

Watumishi wa Umma Kuongezewa Mshahara Kwa Asilimia 7-10 Kuanzia Kesho.

Mishahara ya wafanyakazi wa umma wakiwemo walimu, maafisa wa polisi, na wafanyakazi wengine wanaotekeleza majukumu yao katika ofisi za umma inatarajiwa kuongezeka kwa kati ya asilimia 7-10 kuanzia hapo kesho. Haya ni kwa mujibu wa Rais William Ruto ambaye amesema kwamba ongezeko…

Mahakama Kuu Yasitisha Utekelezaji wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2023.

Mahakama kuu nchini imesitisha kwa muda utekelezaji wa mswada wa fedha wa mwaka 2023 kwa kipindi cha juma moja, ili kupisha kumalizika kwa kesi iliyowasilishwa na seneta wa Busia Okiya Omtatah, ikipinga baadhi ya vipengee vilivyo kwenye mswada huo. Katika kesi yake…