Wizara ya Elimu inapania kuanzisha matumizi ya bayometriki shuleni. Kulingana na mwenyekiti wa Chama cha Wakuu wa Shule za Sekondari KESSHA Kahi Indimuli, njia hiyo mpya ya kuwatambua wanafunzi itafuatilia mienendo yao. Akizungumza wakati wa Kongamano la 46 la Chama cha Wakuu…
BY ISAYA BURUGU 30TH JUNE,2023-Rais Wiliam Ruto ameongoza uzinduzi wa mpango wa gavamkononi ambao utatoa Zaidi ya huduma alfu 5 za serikali kupitia mtandao wa E-Citizen. Hatua hiyo inatarajiwa kurahizisha utoaji huduma kwa wananchi na kuwapunguzia safari za kusaka huduma muhimu. Aidha…
BY ISAYA BURUGU,30TH JUNE,2023-Rais William Ruto ametia Saini kuwa sheria mswada wa ugavi wa mapato kwenye kaunti wa mwaka 2023 na ule wa hazina ya usawazishaji vile vile wa mwaka 2023. Miswada hiyo miwili sasa itawezesha kaunti zote 47 kupokea fedha katika…
Tume ya huduma za umma nchini PSC imewaalika wakenya kutuma maombi ya nafasi ya Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma nchini DPP. Katika taarifa iliyochapishwa kutoka kwa PSC hii leo, yeyote aliye na nia ya kutwaa wadhifa huo lazima awe amehitimu na shahada…
Muungano wa Maafisa wa kimatibabu nchini KUCO umetishia kukatiza huduma zao kuanzia tarehe kumi na nne mwezi ujao wa Julai, ili kulalamikia utepetevu serikali katika kushughulikia maslahi ya wahudumu wa Afya. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Bw. Peterson Wachira, viongozi wa muungano huo…
Hatimaye Familia tano zilizowapoteza wapendwa wao kwenye mashambulio ya kigaidi yaliyotekelezwa katika vijiji vya Salama na Juhudi mnamo Jumamosi usiku zimepokea msaada wa fedha za mazishi kwa wapendwa wao. Kila familia imepokezwa Sh.100,000 na Gavana wa Lamu Issa Timamy kwa minajili ya…
BY ISAYA BURUGU 29TH JUNE,2023-Wahudumu kwenye sekta ya uchukuzi mjini Ilbisili kaunti ya Kajiado wanalalamikia kuongezeka kwa ajali zinazosababishwa na malori ya masafa marefu ,huku hatua dhidi ya wahusika ikikosa kuchukuliwa. Wahudumu hao walilizuia lori lililosababisha ajali katika Barabara ya Namanga wakilalamikia…
BY ISAYA BURUGU,28TH JUNE,2023-Baada ya takribani siku kumi na moja ya kutoweka kwa aliyekuwa mfanyikazi wa hazina yakitaifa Tom Osinde ,afisa huyo amepatikana katika mto Kuja kaunti ya Migori akiwa amefariki.Mwili wake umepatikana mwendo wa saa tano usiku wa leo na kupelekwa…