ELIUD OWALO

Serikali Kuwekeza Zaidi Katika Uchumi Wa Kidijitali Ili Kuunda Nafasi Zaidi Za Ajira.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, Eliud Owalo amesema serikali inajizatiti kuweka miundo-msingi bora na kutenga rasilimali za kutosha kuwekeza katika vituo 1450 vya kidijitali kote nchini kufanikisha mpango wa Jitume Youth Digital Empowerment. Kwenye kikao na wanahabari baada ya kuzindua kituo sawia katika…

Maaskofu wa kanisa katoliki wazindua kampeni ya amani mjini Eldoret.

Maaskofu wa kanisa katoliki wanaoongoza maeneo ambayo hushudia mizozo mara kwa mara, hii leo wamezindua kampeni ya amani mjini Eldoret. Kampeni hiyo inapaniwa kupiga jeki juhudi za serikali kumaliza uhasama katika maeneo hayo ya kaskazini mwa bonde la ufa. Akizungumza wakati wa…

Makachero wa DCI wawakamata washukiwa wawili sugu wa ujambazi jijini Nairobi

BY ISAYA BURUGU,28TH JUNE 2023-Mshukiwa wa ujambazi na vurugu amekamatwa na bunduki mbili zinazohusishwa na wizi mbalimbali katika kaunti za Nairobi, Nakuru, Kiambu, Muranga na Kajiado kupatikana na maafisa wa upelelezi.Mshukiwa aliyejulikana kama Ezekiel Kiarie ambaye amekuwa akitoroka kwa siku chache zilizopita…

Viongozi wadini ya kislam watoa wito wa amani na upendo nchini wanapoadhimisha Idd-Ul-Adha

BY ISAYA BURUGU 28TH JUNE,2023-Viongozi wa dini ya kislam wametoa wito wa kudumishwa kwa amani humu nchini na kujiepusha na mambo yanayoweza kuyumbisha umoja wa kitaifa. Wakizungumza kule Mombasa,wakati wa kuanza kwa sherehe za Idd-Adha,pia wametoa wito kwa watu wote wenye uwezo…

Rais Wiliam Ruto awaongoza wakenya katika kuwatumia Waislam ujumbe wa kheri njema za Idd-Ul-Adha

BY ISAYA BURUGU,28TH JUNE 2023-Rais  William Ruto amewaongoza wakenya katika kuwasilisha risala zake za kheri njema kwa  jamii ya waislam wanapoadhimisha siku kuu ya Idd-Ul-Adha. Katika ujumbe ,rais amesisitiza umuhimu wa  siku ya leo akiwataka waumini wakislam kupokea kielelezo kutoka kwa maadili…

Kinara wa Upinzani Raila Odinga Atangaza Uasi Kupinga Ushuru Zaidi.

Kinara wa upinzani Raila Odinga amewataka Wakenya kujihusisha katika msururu wa shughuli za uasi kama njia ya kupinga mipango ya Serikali kuwatoza ushuru zaidi na kuendeleza kile alichokitaja kama usaliti mjini kwa kuwatoza Wakenya ushuru bila idhini yao. Katika mkutano wa hadhara…

Waziri wa elimu abuni upya baraza la mtaala wa mtihani katika vyuo vya kiufundi.

Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amebuni upya baraza la mtaala wa mtihani katika vyuo vya kiufundi humu nchini. Kwa mujibu wa Machogu ni kwamba baraza hilo litathmini ubora wa elimu na mitihani katika vyuo hivyo. Aidha amelitaka baraza hilo jipya kutoa mafunzo…

Jopo litakalo wapiga msasa wagombea wa wadhfa wa DPP yazinduliwa rasmi.

Wanachama wa Jopo litakalo wapiga msasa wagombea wa wadhfa wa  mkurugenzi wa mashtaka ya umma uliokuwa ukishikiliwa na  Noordi Haji wamekula kiapo hii leo. Wanachama hao ni pamoja na Katibu Mkuu wa COTU Francis Atwoli, Afisa mkuu Mtendaji wa Tume ya Maadili…