Azimio kuandaa mkutano na wananchi katika uwanja wa Kamukunji leo

BY ISAYA BURUGU 27TH JUNE 2023-Mungano wa Azimio la     umoja one Kenya leo unaanza mkutano wa umma katika  uwanja wa kamkunji jijini Nairobi. Mkutano huo unajiri siku moja tu baada ya rais Wiliam Ruto kutia Saini maswada wakifedha wa mwaka 2023 kuwa…

Uchunguzi waanzishwa duka moja likiteketezwa Wasonyiro

BY ISAYA BURUGU 27TH JUNE 2023-Maafisa wa Polisi wameanzisha msako dhidi ya kundi la  vijana linaloripotiwa kuvamia duka mmoja eneo la wasonyiro Narok kusini kwa madai ya mwenye duka hilo kudaiwa kujihusisha na ulawiti na ndoa za jinzia  moja. kamanda wa polisi…

Siaya DG

Naibu Gavana Wa Siaya William Oduol Aponea Shoka La Kutimuliwa Ofisini.

Naibu gavana wa Siaya William Oduol ataendelea kuhudumu kama naibu gavana wa Kaunti hiyo, baada ya maseneta kupinga pendekezo la kumbandua mamlakani lililotolewa na kamati maalum iliyotwikwa jukumu la kuangazia kutimiliwa kwake. Maseneta 27 wamepiga wakipinga mapendekezo ya kamati hiyo maalum,dhidi ya…

Rais William Ruto atia saini mswada wa fedha wa mwaka 2023 kuwa sheria.

Rais William Ruto mapema hii leo alitia saini kuwa sheria mswada tata wa Fedha wa 2023, ambao ulipitishwa na Bunge la Kitaifa wiki jana. Mswada huo ulipitia Bungeni baada ya kusomwa kwa mara ya tatu na Kuria Kimani ambaye ni mwenyekiti wa…

Naibu gavana wa Siaya William Oduol atarajiwa kufahamu hatma yake leo.

Kamati maalum ya Seneti imeshikilia uamuzi wa kubanduliwa kwa naibu gavana wa Siaya William Oduol. Katika ripoti iliyowasilishwa bungeni hii leo jopo hilo la wanachama 11 lilimpata Oduol na hatia ya mashtaka mawili aliyokabiliwa nayo. Oduol alikabiliwa na mashtaka ya ukiukaji mkubwa…

Vijana Marsabit Watakiwa Kuwa Mstari Wa Mbele Kueneza Amani.

Vijana katika kaunti ya Marsabit wamehimizwa kuwa mabalozi wa Amani na kukoleza jitihada za kuhubiri amani baina ya jamii mbalimbali, kama mojawapo ya njia za kutatua mizozo ya kikabila ya mara kwa mara katika kaunti hiyo. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa hazina…

Mwanaharakati aliyefichua kashfa ya NHIF asema maisha yake yamo hatarini.

Mwanaharakati wa haki za binadamu aliyepuliza kipenga kuhusu kashfa ya madai ya ubadhirifu wa Bima ya kitaifa ya Afya NHIF sasa anasema maisha yake yamo hatarini. Salesio Thuranira, mkazi wa kaunti ya Meru, hivi majuzi alifichua jinsi wagonjwa kadhaa walio katika mazingira…

Mataifa ya Afrika yatakiwa kuungana katika nyanja mbali mbali kwa manufaa ya kila mmoja

BY ISAYA BURUGU 24TH JUNE 2023- Mataifa ya bara Afrika yametakiwa kuungana katika Nyanja mbali mbali kwa faiada ya kila mmoja.Wito huu umetolewa na mkewe naibu rais Rigathi Gachagua Bi Dorcas Gachagua. Akizungumza katika taiafa Jirani la Uganda Dorcas amesisitiza umuhimu wa…