Wabunge waasisi wa ODM watakiwa kujiuzulu nyadhifa zao na kusaka majukumu upya

BY ISAYA BURUGU 24TH JUNE 2023-Mwenyekiti wa kitaifa wa chama cha ODM John MBadi anawataka wabunge walioenda kinyume na msimamo wa chama cha ODM na kupigia kura mswada wa kifedha wa mwaka 2023 wajiuzulu nyadhifa zao na kutafuta upya nafasi za uwakilishi…

Serikali yaomba Subira Zaidi Kutoka Kwa Wakenya Ili Kufufua Uchumi.

Serikali imetoa wito kwa wakenya kujikaza na kujiandaa kukabiliana na changamoto za kiuchumi zinazowakabili katika siku zijazo. Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, ameeleza kwamba serikali inahitaji muda zaidi kabla ya kurejesha gharama ya maisha katika viwango vinavyokubalika. Akitoa hotuba yake…

Naibu gavana wa Siaya William Oduol atarajiwa kufahamu hatma yake wiki ijayo.

Spika wa bunge la seneti Amason Kingi ameitisha kikao maalum cha seneti kuangazia ripoti ya kamati maalum iliyobuniwa kumchunguza Naibu Gavana wa Siaya William Oduol kufuatia kutimuliwa kwake na bunge la kaunti ya Siaya. Katika notisi ya gazeti la serikali ya Juni…

Wizara ya afya yapania kufanya marekebisho katika Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya NHIF.

Serikali imejitolea kurekebisha Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Afya NHIF na kuanzisha mpango mpya wa bima ya afya ya jamii ambayo inakidhi mahitaji ya Wakenya wote. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Moyo katika Hospitali ya Coptic, Waziri wa Afya…

Duale Garrisa

Tutawakabili Alshabaab hadi Mwisho, Waziri wa Ulinzi Aahidi.

Waziri wa ulinzi nchini Aden Duale amesema taifa la kenya litaendelea kupambana ima fa Ima na wanamgambo wa kundi la Al Shabaab. Akizungumza leo wakati wa sherehe ya kuhitimu kwa wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Waziri Duale amesisitiza kuwa serikali itatumia…

Kamukunji

Viongozi wa Upinzani Kuandaa Mkutano wa Mashauriano Juma Lijalo.

Viongozi wa upinzani nchini wamewarai wakenya kuhudhuria mkutano wa mashauriano utakaofanyika jijini Nairobi wiki ijayo. Mkutano huo utakaoandaliwa katika uwanja wa Kamukunji siku ya Jumanne tarehe 27.06.2023 unapania kujadili hatua watakazochukua baada ya wabunge hio jana kuidhinisha Mswada wa Fedha. Katika taarifa…

Mzigo wa kimaisha kuendelea kumlemea mwanachi huku wabunge wakipitisha ushuru wa nyumba

BY ISAYA BURUGU,22ND JUNE,2023-Wabunge hatimaye wamepitisha  ushuru wa nyumba wa kima cha asilimia 1.5 ya mishahara ya wafanyakazi kila mwezi.Katika kura ya moja kwa moja iliyopigwa kwa pendekezo hilo lililowasilishwa na Kamati ya Bunge kuhusu Fedha, wabunge 184 walipiga kura ya NDIO,…

Polisi kaunti ya Bomet wamzuilia mwanamme mmoja kwa kumua mpenziwe

BY ISAYA BURUGU, 22ND JUNE,2023-Polisi katika kaunti ya Bomet wanamzuilia mwanaume mmoja anayedaiwa kumuua mpenziwe wa miaka 25 kwa kutaniana na wanaume wengine kwenye mtandao wa Facebook.Ismael Kingeno Langat mwenye umri wa miaka 21 anaripotiwa kujisalimisha katika kituo cha polisi Makimeny, eneo…