Juhudi za serikali kupambana na pombe haramu Narok zapongezwa

BY ISAYA BURUGU 22ND JUNE,2023-Oparesheni ya kupambana na  pombe haramu imengoa maeneo mbali mbali Narok kusini baada ya serikali ya kitaifa kuungana na serikali ya kaunti ya Narok kupambana na mihadarati.Ni hatua iliyoshabikiwa na wenyeji wengi wa eneo hilo ikizingatiwa kuwa pombe…

Ruto Kuria

Rais Ruto Asema Uhuru wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kujieleza Unapaswa Kuheshimiwa.

Rais William Ruto amevunja kimya kuhusu gumzo linaloendelea la uhuru wa vyombo vya habari nchini, akisisitiza umuhimu wa pande zote kuheshimu uhuru wa kujieleza. Akizungumza katika uzinduzi wa mashindano ya Safari Rally huko Naivasha, rais  amesisitiza umuhimu wa kuwaruhusu watu kutoa maoni…

Maseneta wa Azimio waondoka bungeni wakitaka waziri Kuria apewe fursa kujieleza kufuatia lugha ya matusi kwa vyombo vya habari

BY ISAYA BURUGU 21ST JUNE 2023-Maseneta wa mungano wa Azimio la umoja One Kenya wameondoka kwenye majengo ya bunge hilo baada wa ya spika kukosa kuidhinisha hoja ya kumhoji waziri wa kiviwanda moses Kuria kutokana na mashambulizi yake dhidi ya vyombo vya…

Wanaokata miti na kuharibu misitu Narok waonywa

BY ISAYA BURUGU,21ST JUNE,2023-Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Olentutu amewahimiza wananchi wa kaunti hii kutunza mazingira. Akizungumza katika hoteli moja katika kaunti hii, amesema kuwa msitu wa Mau ,Loita na nyakware iko katika hatari ya kuangamia kutokana na shughuli za kibindamu…

Narok Pombe

Vita dhidi ya Pombe Haramu na mihadarati vyashika kasi Narok.

Maafisa wa usalama kutoka serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na idara mbalimbali za usalama kaunti ya Narok, wameanzisha operesheni kali ya kupambana na ugemaji, usambazaji, uuzaji na hata unywaji wa pombe haramu pamoja na matumizi mengine ya mihadarati katika kaunti ya Narok.…

Rais  William Ruto afungua rasmi warsha ya hadhi ya juu ya kawi ya mwaka huu barani Afrika Nairobi

 BY BURUGU ISAYA  20TH JUNE,2023-Rais  William Ruto hivi leo amefungua rasmi warsha ya hadhi ya juu ya kawi YA MWAKA HUU barani Afrika inayoandaliwa katika jumba la mikutano la KICC.Warsha  hiyo itazamiwa kukamilika ijumaa wiki hii. Rais akizungumza kwenye hafla hiyo amelezea…

KINDIKI KITHURE - Radio Osotua

Waziri Kindiki akashfu mzozo kati ya IG Koome na NPSC akiutaja kuwa ukiukaji mkubwa wa katiba

BY ISAYA BURUGU 20TH JUNE 2023-Waziri wa usalama Kithure Kindiki hivi leo amefika  kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu usalama kuhusiana na utata wa kupandishwa vyeo kwa maafisa wa polisi. Waziri Kindiki akizungumzia  mzozo wa kupandishwa vyeo kwa  maafisa 500 wa…

NHIF

KIFIMBO CHEZA: Waziri Nakhumicha awasimamisha kazi mameneja walioipunja NHIF.

Waziri wa Afya nchini Susan Nakhumicha amewasimamisha kazi mameneja wote wa vituo vya Bima ya kitaifa ya Afya NHIF katika maeneo yaliyotajwa kuhusika katika kashfa ya malipo kupitia kwa bima hiyo. Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari, waziri Nakhumicha ameeeleza kuwa…