Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amekosoa kauli ya waziri wa viwanda na uwekezaji Moses Kuria, kuhusu uamuzi wa kutochapisha matangazo ya serikali katika gazeti la Daily Nation. Gachagua aliyezungumza katika kaunti ya Mombasa katika kongamano la kimataifa kuhusu maji na usafi wa…
BY ISAYA BURUGU,19TH JUNE,2023-Kenya na Umoja wa Ulaya zimesaini mkataba wa kibiashara ambao ukishaidhinishwa, utaipa Kenya ufikiaji wa soko la EU bila kutozwa ushuru. Mkataba huo unatarajiwa kuimarisha maendeleo ya kiuchumi ya Kenya, huku Rais William Ruto akisema “utachochea utengenezaji wa bidhaa…
BY ISAYA BURUGU 19TH JUNE,2023-Wakaazi wa kijiji cha Motony wadi ya Mara Narok Magharibi wameshiriki maandamano kupinga ujenzi wa bara bara ya upana wa mita 50 itakayopita katika shamba la jamii.Wakiongozwa na Christopher Samoei wakaazi hao waliojaa hamaki walibeba matawi wakidai bara…
Naibu wa rais Rigathi Gachagua hii leo alishiriki mbio za heart to heart zilizofanyika Nairobi. Akizungumza baada ya kuzindua mbio hizo, Gachagua aliipongeza Hospitali ya Karen kwa kuandaa mbio hizo ambazo zinalenga kutoa msaada kwa familia zinazokabiliwa na changamoto za kifedha katika…
BY ISAYA BURUGU ,17TH JUNE,2023-Naibu kamishana wa Narok magharibi Derusis Muyesus ametoa wito kwa wenyeji wa eneo hilo kuhakikisha watoto wao wamepata elimu. Akizungumza eneo la Lemek Narok magharibi katika hafla ya madhimisho ya mtoto wa kifrika yaliyoandaliwa jana,kamishana huyo amesema elimu…
BY ISAYA BURUGU 17TH JUNE,2023-Chama UDA kimetuma risala za rambirambi kwa jamii ndugu na marafiki wa mwakilishi wadi wa Chewani Hamisi Iddi Deye aliyefariki dunia leo asubuhi kufuatia ajali ya barabarani. Kupitia taaifa chama hicho kimesema mwakilishi wadi huyo wa bunge la…
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu, amewataka walimu wakuu kote nchini kuhakikisha kwamba shughuli za masomo zinaandaliwa kati ya saa mbili asubuhi na saa kumi kasorobo alasiri kila Jumatatu hadi Ijumaa. Akizungumza alipokutana na wakuu wa muungano wa walimu wakuu wa shule za…
Waziri wa usalama wa ndani prof. Kithure Kindiki amewaagiza maafisa wa utoaji wa vitambulizho kufanya kazi hiyo bila ubaguzi. Akizungumza katika kaunti ya Lamu, Kindiki ameagiza vitambulisho hivyo kutolewa katika muda wa siku 21 ili kuwapa wakaazi wa kaunti hiyo uhuru wa…