Tovuti ya KUCCPS yafunguliwa kwa awamu ya pili ili kuruhusu wanafunzi kufanya masahihisho.

Tovuti ya KUCCPS imefunguliwa tena kwa awamu ya pili  ambapo wanafunzi waliotuma maombi ya kujiunga na vyuo mbalimbali watapata fursa ya kufanya masahihisho ya chaguo lao. Zoezi hilo litawapa wahitimu wa shule za sekondari fursa nyingine ya kuomba kozi zinazotolewa katika vyuo…

Kenya yaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya mtoto wakiafrika,wito ukitolewa haki za mtoto kulindwa

BY ISAYA BURUGU,16TH JUNE,2023-Kenya inaungana na ulimwengu hivi leo kuadhimisha siku ya mtoto wakiafrika.Katika kauntihii ya Narok maadhimisho hayo yanandaliwa katika uwanja wa Wiliam Ole Ntimama Mjini Narok huku Zaidi ya Watoto mia tatu  kutoka shule mbali mbali wakihudhuria. Kunao pia maafisa…

Njuguna Bajeti

BAJETI YA HUSTLER: Serikali kukusanya ushuru wa shilingi Trilioni 2.5.

Waziri Ndung’u wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti hiyo ya shilingi trilioni 3.7 amesema kuwa serikali inapania kukusanya ushuru wa shilingi trilioni 2.96 ikijumuisha misaada na ruzuku ambayo ni sawa na asilimia 18.2 ya Pato la Taifa.

Waziri wa fedha kuwasilisha makadirio ya bajeti ya mwaka 2023/24 bungeni alasiri ya leo

BY ISAYA BURUGU 15TH JUNE,2023-Waziri wa hazina kuu ya kitaifa Njuguna Ndung’u hivi leo alasiri anatarajiwa kuwasilisha bungeni makadirio ya bajeti kwa kipindi cha kifedha cha mwaka 2023/24.Hii ndio bajeti ya kwanza ya utawala wa rais Wiliam Ruto na Waziri Ndungu anatarajiwa…

Makenzi

Mawakili 2 waliokuwa wakimwakilisha Paul Makenzi wajiondoa kwenye kesi.

Mawakili wawili kati ya watatu waliokuwa wakimwakilisha mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake wamejiondoa katika kesi inayoendelea katika Mahakama ya Shanzu. Wawili hao George Kariuki na Elisha Komora, wamesema kuwa uamuzi wao wa kujiondoa katika kesi hiyo umetokana kukatishwa tamaa…

abunge watoa maoni tofauti kuhusu baadhi ya vipengee vinavyo patikana kwenye mswada wa fedha.

Mjadala wa mswada wa fedha wa mwaka 2023/2024 umeendelea kuibua hisia mseto nchini huku wabunge wakitoa maoni tofauti kuhusu baadhi ya vipengee vinavyo patikana kwenye mswada huo. Ingawa wabunge wanaounga mkono mswada huo wamekiri kuwa kuna baadhi ya vipengee vinavyohitaji mabadiliko zaidi,…

Mhubiri Paul Mckenzie apata pigo baada ya mawakili wawili kujiondoa kwenye kesi yake.

Mawakili wawili, George Kariuki na Elisha Komora, waliokuwa wakiwakilisha mhubiri mwenye tata Paul Mackenzie na washtakiwa wenzake wamejiondoa katika kesi inayomkabili mhubiri huyo. Wakizungumza na waandishi wa habari, wawili hao walisema kujitoa kwao kumetokana na hali ya kukatishwa tamaa na serikali katika…

Wafuasi 16 wa Paul Mackenzie waripotiwa kukataa kula na kunywa

BY ISAYA BURUGU,14TH JUNE,2023-MAHAKAMA ya Shanzu imefahamishwa kwamba wafuasi 16 wa mafundisho ya mhubiri Paul Mackenzie hawajakuwa wakila tangu Juni 4, 2023. Kiongozi wa Mawakili wa Upande wa Mashtaka Jami Yamina amesema ni Mackenzie tu na mshukiwa Smart Mwakalama ambao wamekuwa wakibomoa…