Kenyatta

Masomo Yasitishwa katika Chuo Kikuu cha Kenyatta Kuwaomboleza Walioaga Dunia.

Usimamizi wa Chuo Kikuu cha Kenyatta umetangaza kusitisha shughuli za masomo katika chuo hicho kwa muda wa siku tatu, kufuatia ajali ya barabarani iliyosababisha vifo vya wanafunzi 11 jana jioni katika eneo la Voi. Notisi iliyochapishwa pia imeeleza kwamba mipango ya kuhamisha…

Mswada mpya wa nyumba za bei nafuu watiwa saini kuwa sheria.

Rais Ruto hii leo ametia saini Mswada mpya wa Nyumba za bei nafuu kuwa sheria katika ikulu ya Nairobi. Kutiwa saini kwa sheria hii kunamaanisha kuwa ushuru wa asilimia 1.5 kwa mapato ya wafanyakazi wote nchini umerejea. Itakumbukwa kuwa awali idara ya…

Maafisa wa Polisi washtakiwa kwa mauaji.

Maafisa 2 wa Polisi Wapatikana na Hatia ya Mauaji ya Mchungaji wa Ngamia, Tana River.

Mahakama kuu ya Garsen kutwa ya leo imewapata na hatia ya mauaji maafisa wawili wa polisi waliohusia katika mauaji ya mchungaji wa ngamia katika Kaunti ya Tana River miaka sita iliyopita. Katika uamuzi wake Jaji Stephen Githinji, amesema kwamba afisa Emmanuel Wanje…

Bei ya petroli, dizeli na mafuta taa yapungua kwa shilingi 7,5 na 4 mtawalia.

Wahudumu wa magari na bodaboda nchini wamepata afueni baada ya mamlaka ya kudhibiti kawi na petroli (EPRA) kutangaza punguzo la bei kwa bidhaa za petroli. Kulingana na taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo hii leo, bei ya Super Petrol itapungua kwa Ksh.7.21, Dizeli…

Joseph Kuria Irungu maarufu Jowie ahukumiwa kifo.

Joseph Kuria Irungu maarufu Jowie amehukumiwa kifo kwa kosa la kumuua mfanyabiashara Monica Kimani mwaka wa 2018. Akitoa hukumu hiyo, jaji wa mahakama kuu jaji Grace Nzioka amesema kuwa mauaji ya Kimani yalikuwa yamekusudiwa. Aidha jaji Nzioka alibainisha kuwa upande wa mashtaka,…

Waziri wa Afya Susan Nakuhmicha asisitiza haja ya kuchukuliwa hatua kuhusu usalama wa chakula.

Waziri wa Afya Susan Nakuhmicha amesisitiza haja ya kuchukuliwa hatua kuhusu usalama wa chakula wakati wa hotuba yake katika kikao cha 54 cha Kamati ya Codex kuhusu Usafi wa Chakula. Waziri huyo aliangazia athari za kutisha za magonjwa yanayotokana na chakula duniani,…

Mfumo wa E-FILING WAZINDULIWA

Jaji Mkuu Martha Koome Aongoza Uzinduzi wa Mfumo wa Kidijitali wa Kusajili Kesi.

Jaji Mkuu humu nchini Bi. Martha Koome, amezindua rasmi mfumo wa kidijitali katika idara ya mahakama, unaokusudiwa kutumika katika usajili wa kesi, uhifadhi wa taarifa, na rekodi za kesi mbalimbali nchini. Mfumo huu umepokelewa vyema na washikadau wa sekta ya mahakama, wakiuona…

Rais William Ruto atoa mwito wa kumaliza ukabila na kudumisha umoja wa kitaifa.

Rais William Ruto ametoa mwito wa kumaliza ukabila na kudumisha umoja wa kitaifa, wakati wa hotuba yake katika hafla ya kuapishwa kwa Naibu Mkuu mpya wa Jeshi la Ulinzi la Kenya Luteni Jenerali Charles Muriu Kahariri na Makamanda wa Huduma katika Ikulu…