Noordin Haji aapishwa rasmi kama mkurugenzi mkuu wa NIS,Rais Ruto akimtaka kutekeleza jukumu lake kwa taadhima

BY ISAYA BURUGU,14TH JUNE,2023-Aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma nchini Noordin Haji ameapishwa rasmi kama mkurugenzi wa idara ya kijasusi nchini NIS.Kuapishwa kwake kunajiri siku moja baada ya bunge la kitaifa kuidhinisha uteuzi wake. Haji anachukua hatamu kufuatia kustaafu kwa Meja…

Haji NIS

Bunge laidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kama mkurugenzi wa NIS.

Kamati ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni katika bunge la taifa imeidhinisha uteuzi wa Noordin Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi (NIS). Haji ambaye amekuwa akihudumu kama mkurugenzi wa mashtaka ya umma nchini atatwaa kiapo katika kipindi…

Angalau asilimia 75% ya Wakenya wapinga vikali Mswada wa Fedha wa 2023.

Angalau asilimia 75% ya Wakenya wamepinga vikali Mswada wa Fedha wa 2023. Haya ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Kituo cha Masuala ya Fedha CFA kwa ushirikiano na shirika la Twaweza. Katika uchunguzi wa mtandaoni uliofanywa kati ya Mei 19 na…

Maeneo ya kuuzia pombe 5,995 yafungwa huku msako wa uuzaji wa pombe haramu ukiendelea.

Serikali imefunga maeneo ya kuuzia pombe 5,995 nchini kote huku msako mkali wa uuzaji wa pombe haramu ukizidi kushika kasi. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, Wizara ya usalama wa Ndani ilisema maeneo hayo yalifungwa baada ya kubainika kushindwa kufuata matakwa ya kisheria ya…

Vita dhidi ya uhalifu:Washukiwa wanne wauawa kaunti ya Kilifi

BY ISAYA BURUGU,13TH JUNE,2023-Washukiwa wanne wa ujambazi wameauawa kwa kupigwa  risasi leo asubuhi katika nyumba moja huko Kijipwa eneo la Takaungu kaunti ya Kilifi. Wakati wa kisa hicho, maafisa wa usalama walifanikiwa kupata bunduki aina ya AK47 kutoka kwao.Kwa mjibu wa polisi…

RUTO:Serikali kumzawadi kila mwanariadha anayevunja rekodi shilingi milioni 5

BY ISAYA BURUGU 13TH JUNE,2023- Serikali imetangaza kuwa itaanza kuwazawadi wanariadha wanaovunja rekodi ya ulimwengu shiingi Milioni  tano.Akizungumza wakati wa mkutano na wanariadha katika ikulu ya Nairobi mapema leo,rais Wiliam Ruto pia amesema kuwa serikali itatembea na wanariadha na kuwaunga mkono kuelekea…

Manusura

Manusura 65 wa shakahola washtakiwa kwa kukusudia kujiangamiza.

Manusura 65 waliookolewa kutoka eneo la Shakahola waliokua wakipokea huduma za matibabu siku ya Jumatatu walifikishwa mahakamani na kusomewa shtaka la kukusudia kujitoa uhai kwa kukataa kula, katika Kituo cha uokoaji cha Sajahanadi huko Mtwapa. Manusura hao walisomewa shtaka hili baada ya…

EACC yazindua warsha ya kukabiliana na ufisadi ambao umekithiri kwenye utoaji zabuni.

Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi EACC imezindua warsha ya siku tano ya kukabiliana na ufisadi ambao umekithiri kwenye utoaji zabuni. Warsha hiyo yenye mada “Kuimarisha Maadili katika Ununuzi wa Umma,” imeandaliwa kwa ushirikiano na Taasisi ya Kenya ya Usimamizi wa…