Ruto Kuria

Rais William Ruto hii leo aliongoza taifa katika maombi ya Kitaifa katika hoteli ya safari park jijini Nairobi.

Rais William Ruto hii leo ameliongoza taifa katika maombi ya Kitaifa katika hoteli ya safari park jijini Nairobi. Hafla hiyo iliwaleta pamoja viongozi kutoka katika nyanja mbalimbali za kisiasa, ingawa viongozi wa upinzani kutoka muungano wa Azimio La Umoja One hawakuhudhuria. Rais…

Gavana Ntutu azindua zoezi la ukaguzi wa wafanyakazi wa Kaunti ya Narok.

Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ntutu amezindua zoezi la ukaguzi wa orodha ya wafanyakazi wa serikali ya kaunti ya Narok, Pamoja na usajili wa kidijitali wa wafanyakazi wote kwenye kaunti hii. Akizungumza ofisini mwake mapema leo, Gavana Ntutu amesema kwamba zoezi…

Masoroveya wasema ardhi inayomilikiwa na Mckenzie ni ekari 3716 wala si ekari 800.

Miili mingine mitano imefukuliwa na maafisa wa upelelezi wanaoendelea na awamu ya tatu ya zoezi la ufukuaji katika Msitu wa Shakahola na kufanya idadi ya waliofukuliwa kufikia 247. Kufukuliwa kwa makaburi mengine 22 yaliyogunduliwa wiki jana kunalingana na ziara ya Waziri wa…

Wafanyabiashara Ololulung’a wasafisha mji kuadhimisha siku ya mazingira duniani.

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya Mazingira duniani hii leo, wananchi na wafanyabiashara katika eneo la Ololulung’a chini ya makundi mbalimbali kama vile Mazingira Ammbassadors of Change, Elite Youth na Ololulung’a Pioneers walijihusisha katika shughuli mbalimbali za kuyalinda mazingira kama vile upanzi wa…

Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa Gladys Shollei atetea mswada wa fedha.

Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa na ambaye pia ni  Mwakilishi wa kina mama kaunti ya Uasin Gishu Gladys Boss Shollei ameunga mkono sheria za ushuru ambazo zimpendekezwa na serikali akisema zitasaidia kuwaondoa Wakenya katika hali mbaya ya kiuchumi. Akiyatetea mapendekezo yaliyotolewa…

Wachuuzi wa Mahindi eneo la Junction wanufaika na vibanda vipya kwa biashara zao.

Gavana wa kaunti ya Narok Patric Ntutu aliwaongoza viongozi wengine wa serikali ya Kauti katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Wadi ya Keekonyokie eneobunge la Narok Mashariki. Gavana Ntutu aliyekagua ujenzi unaoendelea wa bwawa la Duka Moja, aliutaja mradi…

Muungano wa watengenezaji nchini waibua hisia kuhusu pendekezo la ushuru wa ujenzi wa nyumba.

Muungano wa watengenezaji nchini KAM umeibua hisia kuhusu pendekezo la ushuru wa asilimia 3 wa ujenzi wa nyumba ambao unakuja wakati ambapo taifa linakumbwa na changamoto za kiuchumi. Akizungumza wakati wa mkutano uliowaleta pamoja maafisa wa serikali, magavana pamoja na sekta ya…

Okiyah Omtatah

Okiya Omtatah aelekea mahakamani kupinga mswada wa fedha.

Seneta wa Busia Okiya Omtatah amewasilisha kesi mahakamani kupinga baadhi ya mapendekeo yaliyo katika mswada wa fedha wa mwaka 2023/24, akisema kwamba mswada huo ni kinyume cha Sheria. Katika kesi hiyo iliyowasilishwa chini ya cheti cha dharura, Omtatah amesema kwamba baraza la…